Pazi na Jogoo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 331
- 496
Mkuu lkn kwenye awami hii hayo mambo hayakuwepo/yalipungua au ndo Movie inaanza , [emoji3]Mambo ya mtoto wa dada apate nafasi hayo
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Mkuu lkn kwenye awami hii hayo mambo hayakuwepo/yalipungua au ndo Movie inaanza , [emoji3]Mambo ya mtoto wa dada apate nafasi hayo
Connection zilikuwa palepaleMkuu lkn kwenye awami hii hayo mambo hayakuwepo/yalipungua au ndo Movie inaanza , [emoji3]
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba alikiwa hajui ung'eng'e ndio maana alikuwa hapendi kusafiri?yawezekana jamaa alijua akisema jamaa hakupenda safiri na alipenda kaa home tu watu watasema alikuwa anaogopa english basi akaamua akaushe tu
mawazo yangu kwa mkalimani maana sio ku kugeuza maneno huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba alikiwa hajui ung'eng'e ndo maana alikuwa hapendi kusafiri?
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Tuachane na lugha za mabeberu, Zimbabwe msafara mzima ulinikuta haujui kiingereza japo wamefunga tai! Rais wa Zimbabwe ilibidi atafsiri kwani aliwahi kuishi Tanzania kama mkimbizi.Wengi wanasema Mkalimani huyu aliyetafsiri Uongo, yaani kudanyanya Umma ni kutokana na kuwa na Majonzi...
Unajua kuna error na blunder. Ile ya jamaa ni blunder, wala asituongopeeAlisahihisha Apo usilete ujuaji hapa
Ilikuwa wapi hiyo mkuu [emoji23] leo auTuachane na lugha za mabeberu, Zimbabwe msafara mzima ulinikuta haujui kiingereza japo wamefunga tai! Rais wa Zimbabwe ilibidi atafsiri kwani aliwahi kuishi Tanzania kama mkimbizi.
Aliomba muda huo huo au baadaye [emoji23][emoji23][emoji23]Lakini aliomba msamaha kwa kusema kumradhi sikuwa nimemsikia vizuri.
Jamaa aliamua kupindisha kusudiTusubiri magazeti ya nje sasa maana dunia nzima tunaangalia
Anaweza akapata kozi huyo [emoji23]
Muda huo huo baada ya kuona watu wamereact tofauti uwanjani.Aliomba muda huo huo au baadaye [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Duh huyu mkalimani anatumia google translator ya kichina au?
nimeshindwa kumuelewaDuh huyu mkalimani anatumia google translator ya kichina au?