VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

01A6A7DA-004D-42E9-8188-6D5D8C6691D1.jpeg
 
I felt honored because President Magufuli was not a great traveller,He didnt like traveling very much,He preferred to stay here at home.

Nilijisikia kuheshimiwa kwasababu Mh. Magufuli alikuwa ni mtu Imara, mwenye upendo ambaye alipenda kusikiliza na kutoa mwongozo kwa wenzake”
 
Kiukweli hili la uwanja wa taifa linaweza kuwa ni uzembe kwa waandaaji wa shughuli na waathirika walioingia na watoto kiwanjani.

Ila lile la mkalimani pale uwanja wa Jamhuri kutafsiri kwa kubabaika na wakati mwingine kuleta sintofahamu ni sawa kabisa na uhujumu wa hotuba.
 
Ha ha ha ha ha aisee hiyo tafsiri ni balaa sijui alikumbwa na nini ila aliomba radhi na kurekebisha
 
😂😂😂😂😂 Shetani akiamua kushuka na wewe anashuka na wewe Jumla Jumla
 
Na hasa kwenye kutafsiri alipokuwa anaongea rais wa South.

Kuna muda Rais wa South anasema kwemye kikao cha SADC kilichofanyika Tanzania, departed President John Magufuli ndio alikuwa chairman. Ila mkalimani akatwambia eti "Kiongozi aliyetoka baadae ndio alimpa Magufuli kijiti"
😂😂😂😂😂😂kazi iendelee
 
Back
Top Bottom