We unachekelea ukiwa wapi?Mnateseka mkiwa wapi kwa sasa

Mahakama na Polisi sio tena sehemu za kupata HAKI inabidi turudi kwenye kurogana tuu.
View attachment 1982004
Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe....
Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...!
Huyu kajitoa si kwa sababu eti ya majukumu yake mapya ya ujaji kiongozi, la hasha...!
Ni kwa sababu NAFSI YAKE IMEBEBA HATIA [guilty conscious]. Anaona giza mbele yake. Anamtumikia ibilisi shetani. Na shetani hana mzaha, atamtumikia weeeee lakini mwishoni anammaliza kwa kumchinja yeye. Ndivyo ilivyokuwa kwa Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu Kristo...!!
Hapo awali alijitahidi sana kuonekana ni mtu wa haki lakini mwizi ni mwizi tu japo atajifanya kuvaa ngozi ya mwanakondoo asiye na dhambi lakini mwisho wa siku atajionesha tu kwa ngozi yake halisi ya chui....
Hii ndiyo picha ya Jaji Mustapha Siyani ambayo mtu anaweza kuichora. Hakika, hii haina shaka yoyote kuwa huyu naye ni mshirika wa ile syndicate ya uhalifu wa kidola...
Jaji Siyani amemaliza kipande chake, anakuja Jaji mwingine miongoni mwa syndicate ileile ya waliokwisha kuapa kuwa lazima wampoteze Mbowe na CHADEMA...
Swali ni wataweza? Mpango wao huu muovu utafanikiwa?
Msikilize wakili huyu akichambua makosa ya kisheria ya hukumu ya Jaji Mustapha Siyani...
Siko mrengo wowote niko mrengo wa kati sifungamani na upande wowoteWe unachekelea ukiwa wapi?
Resemblence ya chokoraa!View attachment 1982026
Huyu ndiye Jaji ambaye aliamua kutotenda haki sababu ya cheo tu
Nina mashaka kama ulisoma ile hukumu kweliSimple and clear:
1. kwanini jaji ametupilia mbali pingamizi kuwa maelezo ya mshitakiwa yalitolewa nje ya muda?
(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?
2. Kwanini jaji ametulipia mbali pingamizi kuwa mshitakiwa aliteswa?
(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?
Nina mashaka kama ulisoma ile hukumu kweli
Samia anaenda na mdundo ule ule wa Jiwe wa kuwatunza wahalifu ili kukomoa watesi wake.Amepewa cheo katika mazingira ya kushangaza na katika wakati usio tarajiwa! Na yeye akakubali kwa mikoni yake miwili kumtumikia Shetwani Ibilisi!
Malipo ni hapa hapa duniani.
Rais Samia ndiye hakimu wa hii kesi.Walaniwe hawa watu.
Shetani Hana jema zaidi ya uharibifu.Huyo wakili mashine sana... Safi sana.
Jaji alitaka aone mpaka makovu ya mshitakiwa lkn ktk hukumu amefumba macho.Simple and clear:
1. kwanini jaji ametupilia mbali pingamizi kuwa maelezo ya mshitakiwa yalitolewa nje ya muda?
(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?
2. Kwanini jaji ametulipia mbali pingamizi kuwa mshitakiwa aliteswa?
(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?
Dhuluma na maovu yafanywayo na hii Serikali hayana tofauti kabisa na dhuluma na maovu yaliyofanywa na iliyokuwa Serikali ya Makaburu wa Afrika Kusini.
Jaji alitaka aone mpaka makovu ya mshitakiwa lkn ktk hukumu amefumba macho.
Hukumu ya maagizo.
Hawatamuhukumu kifungo Mbowe kamwe,nmwanabuy time tu,watamuachiaView attachment 1982004
Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe....
Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...!
Huyu kajitoa si kwa sababu eti ya majukumu yake mapya ya ujaji kiongozi, la hasha...!
Ni kwa sababu NAFSI YAKE IMEBEBA HATIA [guilty conscious]. Anaona giza mbele yake. Anamtumikia ibilisi shetani. Na shetani hana mzaha, atamtumikia weeeee lakini mwishoni anammaliza kwa kumchinja yeye. Ndivyo ilivyokuwa kwa Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu Kristo...!!
Hapo awali alijitahidi sana kuonekana ni mtu wa haki lakini mwizi ni mwizi tu japo atajifanya kuvaa ngozi ya mwanakondoo asiye na dhambi lakini mwisho wa siku atajionesha tu kwa ngozi yake halisi ya chui....
Hii ndiyo picha ya Jaji Mustapha Siyani ambayo mtu anaweza kuichora. Hakika, hii haina shaka yoyote kuwa huyu naye ni mshirika wa ile syndicate ya uhalifu wa kidola...
Jaji Siyani amemaliza kipande chake, anakuja Jaji mwingine miongoni mwa syndicate ileile ya waliokwisha kuapa kuwa lazima wampoteze Mbowe na CHADEMA...
Swali ni wataweza? Mpango wao huu muovu utafanikiwa?
Msikilize wakili huyu akichambua makosa ya kisheria ya hukumu ya Jaji Mustapha Siyani...
Watu wengine hupoteza fursa ya kutengeneza historia. Huyu ni mmoja wao.Kwa hakika Mahakama ya Tanzania sio tena kimbilio la kupata haki..
Wakili ameeleza vizuri katika hiyo audio clip..hata ambaye hajui sheria anatamuelewa vema..
Lakini pale tu huyu Jaji alivyopewa Ujaji Kiongozi nilijua ndio basi tena hakuna HAKI katika hili shauri.