The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
- Thread starter
- #61
Hapana, siyo ktk hatua hii...Kisheria inaruhusiwa kukata rufaa ?
Hii ilikuwa hukumu ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa (trial within trial)...
Rufaa inaweza kukatwa iwapo kesi ya msingi itaamuliwa na hukumu yake iwe na mwelekeo kama huu wa kesi hii ndogo...
Lakini hata kama hukumu itamwachia Freeman Mbowe na wenzake huru, maamuzi ya kesi hii ndogo LAZIMA yakatiwe rufaa ili kurekebisha precedence mbaya ya kuja kuumiza watu wengine huko mbeleni...