Uchaguzi 2020 VIDEO: Dkt. Magufuli arejea Makao Makuu ya nchi Dodoma, aserebuka wimbo wa Zuchu mbele ya wananchi

Naona mtu kaludi kwny ngome yake kujipooza.. alichokutana nacho aliko toka sio pow aseeee
 
Coordination ifanyike vizuri kusiwe na kuchelewashana barabarani ijulikane msafara upo wapi na utachuku gani kupita point flani haiwezekani msafara upo bahi huko, dodoma mjini kote magari yamesimamishwa
Yan msafara upo bahi mjini mlishasimamishwa 😂si mtakaa adi jioni xx
 
Hama kweli, ukishikwa pabaya hakuna ngoma utaacha kuicheza.
Hapa anaonekana anawapenda sana hawa watu, lakini hawajui hiyo ni stahili yapaka kuomba mfupa, akisha pata ukiushika anakuparua.
 
Amelegea legea na amekuwa lege lege sana siku hizi, ubabe kwishnei.
Duniani Mgombea yoyote wa siasa anapowania kiti cha kuchaguliwa na wananchi, lazima awe myenyekevu. Sio magufuli pekee. Hata lissu akichaguliwa atakuwa mbogo na hataonekana kirahisi, tusidanganyane.
 
mim ni Cdm ila kwa hil nakupinga.ndege ndio alama na nembo yetu.
Hivyo kabla ya Ndege nchi yenu ilikua haina alama?CCM akili zenu zawatosha wenyenu ndege itengenezwe Ulaya iwe nembo ya taifa lako wewe Waafrika tuna akili pasonol
 
BAVICHA WANAUMIA KINOMA HAPAA HAHAHAHHA WAMEAKAAAAAAAAA

NAISHUKURU SERIKALI YA AWAMU YA TANO
 
Jembe hilo...
Kujitutumua tu nani anamtaka huyo mchoma nyavu halali tulimpa angoze siomabavu nakutupora twendeni nalisu amekwishasema anatulipa
Wavuvi

Vyeti feki mchango wenu lisu ameuona tunawalimu namadactari waliopita kwenye mikono yenu nyinyi vyetifeki

Bomoaboa lisu anatambua mlijenga kwashida nawengine wakati mnajenga mlikula ugali kwachumvi ilimpate pakujiifazi lisu kaliona hili mnalipwa
Katiba mpya yawananchi

Uhuru haki na maendeleo yawatu
Tutaka nini tena alafu lisu hajidai walahana kiburi huyu mwenyekiburi lazima atoke
 
Nini kifanyike?
Ni Rais atumie akili asipende kujionyesha kwa wanyonge kwa misururu mirefu ya magari anapoingia mjini kwenye watu wengi na magari ya shughuli mengi. Msafara wake ukikaribia jiji, ahamie kwenye Chopa impeleke mpaka kwenye jiwe lake Ikulu magari mia ya msafara wake yaingie jijini polepole kila moja kwa wakati wake. Wakazi watajua tu Rais amerudi maana toka Uhuru, ni misafara yake pekee yenye Chopa.
 
Back
Top Bottom