Chifu, kwa logic hiyo siyo Bashite wala Magufuli wanastahili kuwa ofisini. In fact, hakuna kiongozi yeyote kwenye nchi hii anastahili kuwa ofisini.Hayo mambo yalishapitwa na wakati, kama hutaki kudhalilishwa, timiza wajibu, au achia ngazi, sio kila ukiulizwa wewe hujui.
Wanaofutilia haki kwenye ofisi zao huwa wanakatibishwa chai!?
Kwa sheria za kazi ndivyo itakavyokuwa lakini yale maneno aliyoyasema bashite yalikuwa nikamavile ya kumfukuza kazi yule mzee. Alisikika akimwambia yule mzee aende akatafute kazi nyingine hayo maneno nikama alikuwa anamfukuza kazi ingawa kufukuzwa kazi hakutekelezeki zaidi tu ya kushushwa cheo.Kwani suala la kutenguliwa cheocha madaraka kama yy (DLO) ni suala la kimahakama???
Makonda katengua cheo chake cha madaraka DLO bt ataendelea kuwa mtumishi wa umma kwa cheo chake cha muundo (mfn Afisa Ardhi mwandamizi)
ExactlyWewe unadhani kuna mwananchi anayejitambua anaweza kwenda kwenye shughuli ya huyo Bashite?
Ni mazwazwa na misukule tu,ndio maana wanashangilia kila ujinga anaofanya!
Anaweza kushtakiwa kwa attempted manslaughter pia, kama kuna hizo guts.Kuna taratibu za kumsimamisha mtu kazi. Sio alivyofanya Makonda leo. Huyo mtu angekufa angeshtakiwa kwa kuua bila kukusudia. Makonda hapa tumepishana. That was wrong, upende usipende.
Eti kasi!Huyu ana miaka miwili tu ya ukuu wa idara, na kwa taarifa yake, jinsi alivyojipanga, anaonesha alikuwa anaenda sawa na kasi ya Mh. Rais. Kwa miaka miwili hii, watumishi wengi wamejitoa kwa uadilifu ktk kuwatumikia watu ndugu, makosa ya kale yasiwahukumu wengine.
BAADA YA MIAKA 8 KINA BASHITE WATAKUA NI DHALILI KATI YA MADHALIKI.Dhalim anaweza kuishi ila udhalim lazima umfedhehesheUngekuwa umedhurumiwa ardhi kwa utapeli wa watendaji usingesema hivyo ..... Yy kazimia 1 ila kuna mamie nyuma yke amewaliza na kuwazimisha hawakurushwa na media ungeona huruma.
umeamua kumpigia promo antony Makonda ndio rc bora kupita woteWewe nimkomavu wa hoja, Nimekuelewa sana. Na niseme tu wazi, watz wengi wanapelekwa na mihemuko tu, wanadhani ma RC wanaotumbua hovyo ndio wachapa kazi, kuna thread eti inadai Makonda ndiye RC bora kupita wote, hapana, kuna akina Antony Mtaka, yuko kwenye mkoa wenye changamoto nyingi lakini anakwenda vyema sana pasi kutaka sifa, binafsi nampenda, anajua alifanyalo, anazijua changamoto za watendaji wake, na anazitatua haswa. Mkoa mpya, ila unasonga.
Maafisa kilimo hata hawakuwa na usafiri, wala mafuta, siku hizi wanapewa, na hakika wanapiga mzigo. Simiyu ktk kilimo (uti wa mgongo) mwaka huu makampuni yatakimbia pamba. Watu wanafundishwa hata kumwagia dawa, kila idara yuko safi, elimu, afya, viwanda, mashule, nknk. Endeleeni na mihemuko na kushangilia wenzenu wakizimia.
Anaweza kushtakiwa kwa attempted manslaughter pia, kama kuna hizo guts.
Makonda chapa kazi usisikilize maneno ya watumishi wazembe.......watumishi wazembe wote fukuza
Alikuwa mkuu wa upelelezi nadhani, pale mahakama ya kinondoni alikuwa na mtu wake anaitwa Salum (mwendesha mashtaka mkuu),, ;;: ILA kwa upande fulani alisaidia sana kupunguza wahalifu, kuna vijana wengi sana walikuwa wanasifika kwa wizi, yeye alichofanya alikuwa anawapa kesi ambayo hata km watatoka, ila lazima wakae jela hata miaka miwili au mitatu ili wananchi wapumzike huku mtaani,,, kwa ilo alifanikiwa,,Hahaaa...yule jamaa alifanya watu wahame, wengine wazamie sauzi kilazima . yaani kuna kipindi majina yote halisi na yale ma aka alikuwa nayo. Ukikamatwa ukitajwa jina anaangalia ukutani aliyabandika kama lipo ktk list mnaambiwa kafika huyu. Jamaa sujui alikuwa na cheo gani anaweza kukupeleka jela bila faini. Ina maana hutoki mpka aende yeye mwenyewe mkienda mnaambiwa hakuna huyo mtu ktk faili. Jamaa alikuwa shida
Mpumbavu Kama huyo kamwe hawezi kukuelewa.una uhakika wametoa double allocation? na hata kama wametoa kuna haja gani ya kumdhalilisha mtu kwenye kadamnasi ili ushangiliwe na watu? kuna namna ya kudeal na civil servants ndo maana mnaambiwa nchi inaendeshwa na washamba.
Huyu wa Dar, kwa watu wenye uelewa, ni the most hopeless.umeamua kumpigia promo antony Makonda ndio rc bora kupita wote
Tundu Lissu:Wakitumaliza wataanza na nyinyi
Watumishi wa Umma kwa Pamoja nchi nzima wasipo amua kuuungana na kuchora mstari wa kuupinga huu udhalilishaji kamwe hautakoma.Nimejikuta natoa machozi kwa kweli,kha what is this jamani,nadhani huu ni muda wa kutofatilia taarifa za Tanzania tena hadi Magufuli amalize uongozi wake.Huyu Makonda kwa Kweli hapana.