Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,202
- 138,570
Tundu Lissu:Wakitumaliza wataanza na nyinyi
Tundu Lissu:Wakitumaliza wataanza na nyinyi
Division zero haikutoshi kwenye taaluma tu ni hadi kwenye maswala ya huruma Na utuNimejikuta natetema kwa hasira baada ya kuona mtu kaanguka na kapoteza fahamu huku huyo huyo mtu alisababisha apoteze faham anasema DAR ES SALAAM OOYEEEE! Atupishe siye tunaendele kuchapa kazi.... Daaah watu ni wanyama zaidi ya mnyama[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hv bashite harogekiWenzako wamesoma kwa bidii , wewe unawatumbua....... Ni vyema kukumbuka vyeo vya kisiasa ni vya msimu, kwa hiyo busara na hekima inatakiwa kutumika ili kutatua kero za wananchi na wala sio vyema kucheza na majukwaa.
Huyu jamaa hakumbuki fitna yake ilisababisha mauti ya Kabwe kwenye uzinduzi wa Daraja la Kigamboni...Yaan haya ni mambo ya kudhalilishana aisee, si angemuandika barua tu..; halafu mtu kazimia wewe ndio unazidi kusema "Dar es salaam hoyeeeee...!" Duuh. ".....utaona nchi nzuriiii...., naomba msogee basi si tunaendelea na kazi...."
mkuu acha tu huu ni zaidi ya unyama.only for political publicity!Nimejikuta natetema kwa hasira baada ya kuona mtu kaanguka na kapoteza fahamu huku huyo huyo mtu alisababisha apoteze faham anasema DAR ES SALAAM OOYEEEE! Atupishe siye tunaendele kuchapa kazi.... Daaah watu ni wanyama zaidi ya mnyama[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
aiseeeee ...Nimejikuta natetema kwa hasira baada ya kuona mtu kaanguka na kapoteza fahamu huku huyo huyo mtu alisababisha apoteze faham anasema DAR ES SALAAM OOYEEEE! Atupishe siye tunaendele kuchapa kazi.... Daaah watu ni wanyama zaidi ya mnyama[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Tundu Lissu:Wakitumaliza wataanza na nyinyi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisa mkuuIli kuepuka madhira kama haya, kama wewe ni hard worker na risk taker, kuna mambo mawili yatakayokufaa. Kufanya Kazi private ama ujiajiri mwenyewe! Mambo ya kusimamishwa hadharani kama haya na kutishiwa ugali wako yatakuwepo kidogo sana!
We unajua hao wakuu wa idara kwa kusababisha migogoro mfano ya ardhi, wameua watu wangap!?Yaan haya ni mambo ya kudhalilishana aisee, si angemuandika barua tu..; halafu mtu kazimia wewe ndio unazidi kusema "Dar es salaam hoyeeeee...!" Duuh. ".....utaona nchi nzuriiii...., naomba msogee basi si tunaendelea na kazi...."