Huu ndio utaratibu wa kushughulikia watu wazembe. Hata jambazi lililoua hadharani akatii kukamatwa anapelekwa mahakamani kuhukumiwa. Itakuwa huyo babuWe unajua hao wakuu wa idara kwa kusababisha migogoro mfano ya ardhi, wameua watu wangap!?
Hao wakuu wa idara kwa kutoa double allocation ni zaidi ya nini?!mkuu acha tu huu ni zaidi ya unyama.only for political publicity!
Hayo ndo yaliyotufikisha, kikongwe kufuatilia haki mahakamani kwa miaka 24, au hiyo ndo haki!?Huu ndio utaratibu wa kushughulikia watu wazembe. Hata jambazi lililoua hadharani akatii kukamatwa anapelekwa mahakamani kuhukumiwa. Itakuwa huyo babu
Wale wazee na makabrasha yao kupigwa tarehe, mafaili yao kupotezwa, wao wakifuatilia kwenye maofisi yao yenye viyoyozi, hupewa juice!?Nawauliza wazee wa ndio, hivi ndivyo mtumishi wa umma anapaswa kutwezwa? (kudharilishwa, kuvunjiwa utu na hadhi mbele ya jamii)
una uhakika wametoa double allocation? na hata kama wametoa kuna haja gani ya kumdhalilisha mtu kwenye kadamnasi ili ushangiliwe na watu? kuna namna ya kudeal na civil servants ndo maana mnaambiwa nchi inaendeshwa na washamba.Hao wakuu wa idara kwa kutoa double allocation ni zaidi ya nini?!
Hayo mambo yalishapitwa na wakati, kama hutaki kudhalilishwa, timiza wajibu, au achia ngazi, sio kila ukiulizwa wewe hujui.una uhakika wametoa double allocation? na hata kama wametoa kuna haja gani ya kumdhalilisha mtu kwenye kadamnasi ili ushangiliwe na watu? kuna namna ya kudeal na civil servants ndo maana mnaambiwa nchi inaendeshwa na washamba.
Sielewi nani anayependezwa na hawa viongozi ikiwa wanaumiza mtu mmoja mmoja sijui kundi lipi limelengwa kupendezwaYaan haya ni mambo ya kudhalilishana aisee, si angemuandika barua tu..; halafu mtu kazimia wewe ndio unazidi kusema "Dar es salaam hoyeeeee...!" Duuh. ".....utaona nchi nzuriiii...., naomba msogee basi si tunaendelea na kazi...."
Huyo ni unfit for work. Ndo mana hawezi kwenda field akiletewa jambo.Hovyo kabisa hivi huwa hajui kuwa kuna watu wanatembea na magonjwa kama Blood pressure?
Nimejikuta natetema kwa hasira baada ya kuona mtu kaanguka na kapoteza fahamu huku huyo huyo mtu alisababisha apoteze faham anasema DAR ES SALAAM OOYEEEE! Atupishe siye tunaendele kuchapa kazi.... Daaah watu ni wanyama zaidi ya mnyama[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
washamba tu nyie hamna lolote.kwani nyie ndo serikali ya kwanza duniani kutawala?Hayo mambo yalishapitwa na wakati, kama hutaki kudhalilishwa, timiza wajibu, au achia ngazi, sio kila ukiulizwa wewe hujui.
Wanaofutilia haki kwenye ofisi zao huwa wanakatibishwa chai!?