Thibitisha huyo aliezimia hatekelezi Majukumu yake ipasavyo! Au kisa idadi ya malalamiko aliyopokea haijafikia ya Makonda?Hayo mambo yalishapitwa na wakati, kama hutaki kudhalilishwa, timiza wajibu, au achia ngazi, sio kila ukiulizwa wewe hujui.
Wanaofutilia haki kwenye ofisi zao huwa wanakatibishwa chai!?