jiwe la maji
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 1,062
- 706
Nimejaribu kufikiria sababu iliyosababisha huyo mzee kuzimia nimeona hata ningekuwa mimi kwa umri ule labda yangenikuta yaliyomkuta huyo mzee.Huyu mkuu wa Idara anastahili kutumbuliwa.... Hana uwezo wa kukabiliana na Changamoto.
Kama mkuu wa mkoa tu anazimia.... Akija waziri atakufa moja kwa moja.. Hapo bado hajaja Waziri mkuu ama Raisi.
Hivi hawa wanaojiita Wasomi wana matatizo gani ktk vichwa vyao?
Yawezekana mshahara wa mzee haupungui 2 mil kwa mwezi hivyo si rahisi kupata ajira tena pengine ya kipato hicho, umri wake umeenda si rahisi kumudu kazi nyingine za pilikapilika. Yawezekana anasomesha watoto wake shule za kulipia na anategemewa na familia kubwa sana. Kauli ya bashite imemfanya afikiri kupoteza ma milioni yake ya kustahafu kazini. Mwisho wa siku mwili wake ukashindwa kuhimili situation iliyokuwapo.