Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,319
- 65,213
Kuna taratibu za kiutumishi hapo zimekiukwa,takwimu alizonazo mhe.mkuu wa mkoa zimeonekana kubwa kutokana na idadi ya watu wengi kupeleka malalamiko yao kwa mkuu wa mkoa badala ya Manispaa.Kwahiyo migogoro iliyopo mezani kwa mkurugenzi ni michache kutokana na wananchi kumluka mkurugenzi na kwenda kwa mkuu wa mkoa,jambo hili sio zuri ndio maana huyo afisa ardhi wa manispaa inaonekana hajatatua migogoro mingi kama ya mkuu wa mkoa.Viongozi wa kisiasa awamu hii wanapenda sana sifa ili waonekane.