Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

Hv bashite harogeki
Kwanza nmecheka sana kwa kauli yako. Ukimloga huyo utakufa mwenyewe mlogaji. Ni malawi tu walifanikiwa kuloga ikulu hadi rais alikimbia ikulu. Bongo sijawahi kusikia.
 
Ni babu yangu mzaa baba
Sema kweli kiongozi?

Huna roho ya huyo mzee aisee uniazime? Huyo mimi ndiye shujaa wangu, alikuwaga hataki ujinga!! Huu ujinga unaofanywa na akina Makonda kwa huyo mzee wangenyooka!
 
Nchi ilipofikia watendaji wawekwe hadharani kwenye media kama hivi wajielezee wananchi wajue mapungufu yao na sifa zao. Haya yanatakiwa yafanyike kila baadad ya muda.
 
Nilidhulumiwa nyumba.
Miaka saba mahakama ilikuwa inanizungusha kupata haki yangu.

Hujui tu inavyouma.
Hao wajomba zako hujawakuta ofisini wanavyoringa.

Suala la ajira wewe halikuhusu as long as I survive.
I am educated enough.
kama umedhulumiwa si uende mahakani ndio haki inapopatikana.
 
Sekta inayoongoza kwa watu kuuwana na kukatana mapanga ni Aridhi.

Kesi nyingi zilizoko mahakamani ni za aridhi

Watu wamefilisika na wengine wamekosa ada za watoto wao sababu ya migogoro ya aridhi.

Wajane kila siku tunasikia wanazimia na kufariki sababu ya migogoro ya aridhi.

Aridhi siyo swala la kuletea mchezo hata kidogo ,kiongozi anayesimamia aridhi ni sawa na rubani anayerusha ndege , kosa moja linagharimu maisha ya maelfu ya watu.

Kiongozi wa aridhi hutakiwi kuleta mzaha hata kwa dakika moja.

Sasa hawa viongozi wa aridhi wa mkoa wa Dar ,hawatoi hati kwa wakati, wanauzia watu 10 kiwanja kimoja. Na idara ya aridhi inaongoza kwa kuzungusha watu ukienda hapo utaambiwa njoo kesho njoo kesho mpaka mwaka unaisha.

Mkuu wa mkoa aliposema wenye Matatizo ya aridhi waje ofisini, walijitokeza maelfu ya watu kiasi kwamba hata uwanja wa kuwaweka haukutosha.
Hiyo tu ilikuwa ni alarm kwao kujipima na kuachia ngazi kwa hiari yao.

Kama mnafanya kazi hao maelfu ya watu wenye migogoro ya aridhi wanatoka wapi??

Kazi ya kiongozi ni kutatua matatizo au kushangaa matatizo??
Hiyo idara ya aridhi inalipwa kwa kazi ipi inayofanya ??

RC Makonda kwa maoni anatakiwa kuongeza kasi ya kusafisha.

Kuzimia kuna watu wengi wanazimia au kufa kabisa huku mtaani kila siku kwa kuibiwa aridhi zao.
 
Hivi huyu makondakta anapata wapi jeuri ya kuwakandamiza wafanyakazi wa umma hadharani bila soni?
 
Aisee, kama binadamu nimemuonea huruma sana huyo baba alozimia, lakini cheo ni dhamana hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Ipo siku
 
Back
Top Bottom