Se-ronga
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 650
- 909
Nafikiri alichotamka RC ni kwamba jamaa apangiwe majukumu mengine,,kufukuzwa kazi siyo rahisi kiasi hicho,,ndo maana amemuagiza Mkurugenzi,lakini naye Mkurugenzi kabla ya kutekeleza maagizo lazima ajiridhishe na maamuzi atakayofanya,,ninachokiona hapa labda ni uwezekano wa huyo jamaa kuhamishiwa TANDAHIMBA na kuwaachia wenye JIJI lao wakiendelea kujivinjari.!Mteule wa Mungu....
Hivi mtu unaweza ukafukuzwa kazi kizembe hivyo, without due process?