Mtu hata mtoto wa kusingiziwa hana unafikiri aje awe na uchungu na mtoto wa mwenzie? Yeye mwenyewe kazaliwa pekee hivyo hategemei kuwa na ndugu wa kudhalilishwa. Ipo siku jiwe litasogea.Division zero haikutoshi kwenye taaluma tu ni hadi kwenye maswala ya huruma Na utu