LAMOLAMO
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 246
- 228
kwa hiyo unakusudia kusema nn?We unajua hao wakuu wa idara kwa kusababisha migogoro mfano ya ardhi, wameua watu wangap!?
Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
kwa hiyo unakusudia kusema nn?We unajua hao wakuu wa idara kwa kusababisha migogoro mfano ya ardhi, wameua watu wangap!?
Atakuja kuwa na mwisho mbaya sana,,Dogo anajitengenezea mwisho wake kwa namna hiyo. Just mark my words!
Ahaha, ,Abdala selemani yupo kituo cha police Kawe na mbweni, , Ila jamaa kiukweli amesaidia,, wahuni na wale wezi maarufu wote aliwapa kesi za murder na robbery, ,, pale Kawe masela walihamua kuhama kabisa kwa kuhofia wataangukia kwenye mikono ya Abdala selemani wakaozee jela kwa kesi za murder, Iyo story uliyosema Nikweli kabisaMkuu binafsi sifahamu kuhusu hilo , lakini wacha nikupe eksipiriensi yangu.
Pale Magomeni Polisi kuna afande anaitwa Dullah Seleman. Yule afande ashakuwa ktk migogoro mingi na wahuni na baadhi ya vijana watukutu ktk eneo lote linalohudumiwa na kituo kikubwa cha magomeni. Sasa ilifika wakati watu wakachanga ili wakamroge wamuue. Aisee...kufika kwa mganga "muuaji" mganga akasema huyu mtu alishakufa siku nyingi ule mpango ukaishia hapo sijui yule afande yupo wapi siku hizi.
Mwingine ni huyu meneja wa stendi ya mabasi yaendayo mikoani Ubungo Bus Terminal... Ebwana huyo jamaa wafanyabishara mpka yltunavyoongea wanatafuta mganga au mchawi wa kumuua kichawi..kila akitizamwa ktk "satelite" hata kivuli hakionekani. Mkigoma yule mwisho.
Tundu Lissu:Wakitumaliza wataanza na nyinyi
Sahihi kabisaWenzako wamesoma kwa bidii , wewe unawatumbua....... Ni vyema kukumbuka vyeo vya kisiasa ni vya msimu, kwa hiyo busara na hekima inatakiwa kutumika ili kutatua kero za wananchi na wala sio vyema kucheza na majukwaa.
Na ndipo linapokuja swali la msingi la je...nia ni kutatua migogoro kweli? Kwenye semina au vikao vya kiutendaji kuna uwanja mpana wa kujadili ikiwemo kufahamu changamoto, vikwazo katika utekelezaji majukumu; bila kusahau maoni ya watendaji juu ya kuboresha taratibu za utekelezaji majukumu. Hivi mbona ni vitu vya msingi sana jamani watanzania ndiyo mmefika huku!!??Wangekuwa wanaendesha seminar jinsi ya kutatua hiyo migogoro kama hazipo Mana unaweza watumbua ukaweka wengine mambo yakswa yale yale yanajirudia
Hahaaa...yule jamaa alifanya watu wahame, wengine wazamie sauzi kilazima . yaani kuna kipindi majina yote halisi na yale ma aka alikuwa nayo. Ukikamatwa ukitajwa jina anaangalia ukutani aliyabandika kama lipo ktk list mnaambiwa kafika huyu. Jamaa sujui alikuwa na cheo gani anaweza kukupeleka jela bila faini. Ina maana hutoki mpka aende yeye mwenyewe mkienda mnaambiwa hakuna huyo mtu ktk faili. Jamaa alikuwa shidaAhaha, ,Abdala selemani yupo kituo cha police Kawe na mbweni, , Ila jamaa kiukweli amesaidia,, wahuni na wale wezi maarufu wote aliwapa kesi za murder na robbery, ,, pale Kawe masela walihamua kuhama kabisa kwa kuhofia wataangukia kwenye mikono ya Abdala selemani wakaozee jela kwa kesi za murder, Iyo story uliyosema Nikweli kabisa
Devide then rule.Nimesikitika na kuhuzunika sana nilijaribu kuwa ktk viatu vya huyu mkuu wa idara wallah imenisononesha. Inawezekana kuna majibu mazuri angeweza kuwa nayo na pengine ni mtendaji mzuri aliekosa kueleza anayoyataka muheshimiwa. Najua kuna uwezekano mkubwa wa huyu mkuu wa idara kukosea data lkn haikupasa afanyiwe haya. Tunao utaratibu maalum wa kushughulikia mambo kama haya. Hivi tujiulize kama mkuu wa mkoa angewapa nafasi ya kumpa data kamili ingeharibu nini. Kisha nashindwa kuelewa hivi kila lalamiko ni mgogoro? Maana kama nimesikia vizuri mkuu wa idara kaulizwa kuhusu Migogoro na si malalamiko ambayo mkuu wa mkoa anatakwimu zake. All in all RC hakuitendea haki nafasi yake. Hakuthamini thamani ya utu wa mtu kwani hata pale mtu alipoanguka bila kujua amepata athari kwa kiasi gani aliimba nyimbo kuonesha alichokifanya yuko sahihi. Wananchi pia wamenifedhehesha sana wakati mtu ameanguka akipigania uhai wake watu wamekosa ubinaadamu wakaanza kushangilia... Upo wapi upendo wetu....
Ndo hvo jomba. Utu umetoweka Kabisa miongoni mwetu [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]na mijitu mizuzu inaitikia oyeeee.tanzania bado sana na hao wengi ndio mtaji wa ccm.
Walichomfanyia lkn kinyoonge sana ye avumilieSiyo poa
ILIKUA JANA?Yaan haya ni mambo ya kudhalilishana aisee, si angemuandika barua tu..; halafu mtu kazimia wewe ndio unazidi kusema "Dar es salaam hoyeeeee...!" Duuh. ".....utaona nchi nzuriiii...., naomba msogee basi si tunaendelea na kazi...."
Huyu mkuu wa Idara anastahili kutumbuliwa.... Hana uwezo wa kukabiliana na Changamoto.
Kama mkuu wa mkoa tu anazimia.... Akija waziri atakufa moja kwa moja.. Hapo bado hajaja Waziri mkuu ama Raisi.
Hivi hawa wanaojiita Wasomi wana matatizo gani ktk vichwa vyao?