Venezuela yashambuliwa na Marekani

Venezuela yashambuliwa na Marekani

Mkuu, huyu Maduro na chama chake cha United Socialist Party ni wahuni wakubwa sana.

1. Toka 2013 amewafunga wapinzani na wengine amewapoteza kwa mamia.

2. Bunge la Venezuela ni kama bunge la Tz tu. Jamaa amedhibiti bunge na mahakama completely.

3. Ukiongoza nchi kwa namna hii, unauwa wapinzani hovyo, hujali lolote kwasababu una jeshi lazima wapinzani watatafuta namna yakupambana hata kama kwakushirikiana na nchi za nje.

4. Serikali ya Maduro ni corrupt vibaya sana, hela za mafuta zote zinaliwa na familia yake na watu wakaribu. Same story kinachoendelea hapa Tz.
Kama hapa bongo tu, ndio hao kina madelu, wanatuita watu wazima na mizuzu yetu guys,
 
Hivi ina maana Venezuela wamekosa manpads kama zilizozuia Urusi kutua Kyiv?
Au ni uzembe au wanajeshi nao wamechoka?
Ukraine ana msaada kutoka USA na EU yote. Naamini Russia hajaamua tu kuchukua Ukraine yote.
 
Navy yote ya Venezuela imeshambuliwa.
Makao Makuu ya Anga hayapo tena
General Command and Control haipo tena

The US has air dominance over Venezuela
 
Ukraine ana msaada kutoka USA na EU yote. Naamini Russia hajaamua tu kuchukua Ukraine yote.
Angeweza ile 2022, kwa sasa Ukraine naye kajipanga haswa.
Ili jeshi letu liendelee linapaswa ajiri watu wenye akili, vita ya sasa si ya kuvunja matofali bali jinsi ya kukwepa FPV drones
Ukraine kwa sasa inasemekana ana wanajeshi 50,000 ambao wao ni drone operators
 
Marekani akiamua kukuchomoa unachomoka tu. Na usipochomoka utatumia gharama kubwa kubaki.


Ile Arab spring ilienda na Ghadafi, misri, Tunisia. Majuzi Syria imeenda.


Moto umezuka Iran muda si muda.
 
Marekani akiamua kukuchomoa unachomoka tu. Na usipochomoka utatumia gharama kubwa kubaki.


Ile Arab spring ilienda na Ghadafi, misri, Tunisia. Majuzi Syria imeenda.


Moto umezuka Iran muda si muda.
 
Navy yote ya Venezuela imeshambuliwa.
Makao Makuu ya Anga hayapo tena
General Command and Control haipo tena

The US has air dominance over Venezuela
Duh sasa kuna vita tena hapo?
 
Zaidi ya Maeneo 100 ya kijeshi yashambuliwa na US Airforce na Navy
 
Inasemekana kuna Maafisa wa Serikali kutoka China wako Venezuela na wamefika masaa 4 kabla ya uvamizi kutokea,
 
Back
Top Bottom