Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,122
- 104,660
Usitupangie cha kuongelea, hii mada ungeanzisha na familia yako ndani kwako hukoDuh aisee jikiteni kwenye mada.
Usitupangie cha kuongelea, hii mada ungeanzisha na familia yako ndani kwako hukoDuh aisee jikiteni kwenye mada.
Dunia ilitulia sana ngoja iwake.Mass murderers.
Mama yenu 😂Manyonyo ni nani bwashee 🤣
ShumiletaManyonyo ni nani bwashee 🤣
Ndiyo ila Iran alipoteza sana viongozi.Ila miezi michache iliopita Israel alionja joto ya jiwe.
CowbellKombora lingine likagonge pale alipo manyonyo
Hahahaha akikunasa atapasua hizo mbupuMama yenu 😂
Alafu we jamaa acha zako kabisaaa lisaa lote hilo yani kama bao la kuku tu kilemba kuleeeeeNaamini wakimtaka wa kwetu hapa ni swala la saa 1 tu
Chevron, exxon mobil, bpTrump ana lake hakuna cha drug cartels wala nini
Nia kumuweka anaemtaka kwa maslahi yao
Sisi tuendelee na yetu
Na nchi yetu haina defenceAlafu we jamaa acha zako kabisaaa lisaa lote hilo yani kama bao la kuku tu kilemba kuleeeee
Kama Putin vileTrump ana lake hakuna cha drug cartels wala nini
Nia kumuweka anaemtaka kwa maslahi yao
Sisi tuendelee na yetu
Mm kukamatika n suala la muda tuu, siku mbili tatu msiponiona humu ujue Ndo kwa heri, mana mm sio maarufu hvy hamtoniona mitandaoni nikitangazwa nimetekwa 😂
Hili kaburi ulilofukua ni zito sana, anaweza kutokea chawa likamuuma, kisha akajipa jukumu la kukutoa uhai,Ila TISS na Jakaya watakwenda motonii.
Hivi unafahamu alikuwa karani shilika la reli pale Tabora watu wamajiweka sana.