Venezuela yashambuliwa na Marekani

Venezuela yashambuliwa na Marekani

Maana inaonekana wale jamaa walikuwa wanalindwa na watu ndani ya Serikali ya Nigeria, toka siku ile ile sehemu pamekuwa kimya sana
Wakati Jonathan Goodluck alikuwa Rais alitaka hawa wamalizwe, basi alitoa ridhaa jeshi lipewe fungu kubwa sana kwa ajili ya silaha za kila aina ili kupambana nao

Lakini hela waligawana wakubwa wa majeshi (wizi) kama kawaida yetu

Rais anashangaa jamaa bado wana nguvu na jeshi linakimbia kwa kukosa nguvu

Ndio maana nasema Africa tuna shida mahali.

Unaiba hela zilizo kuwa allocated kwa ajili ya silaha?
 
Back
Top Bottom