Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Swali la Ruta nilivyolielewa laweza jibiwa na wanaume tu. Tena wanaume waliochakachua wanawake wenye maumbo tofauti. Mimi kama mwanamke siwezi jua kama nina utamu au la utamu anjua muonjaji. Kwa hiyo kama wenye sura nzuri ni watamu kuliko wenye miguu mizuri jibu analo huyo alotembea nao na maanake awe ametembea either na wote au mmoja wao. Naona wengi tunajibu kuwa who looks attractive but it should be who is a good perfomer.
 
PHP:
Na mimi mwenye miguu kamachupa ya pepsi inakuaje????

Wanasema mashine ni kubwa kama chungu sasa sijui kama ni kweli????????????????????
 
HTML:
Swali la Ruta nilivyolielewa laweza jibiwa na wanaume tu.  Tena wanaume  waliochakachua wanawake wenye maumbo tofauti.  Mimi kama mwanamke siwezi  jua kama nina utamu au la utamu anjua muonjaji.  Kwa hiyo kama wenye  sura nzuri ni watamu kuliko wenye miguu mizuri jibu analo huyo alotembea  nao na maanake awe ametembea either na wote au mmoja wao.  Naona wengi  tunajibu kuwa who looks attractive but it should be who is a good  perfomer.

lakini hata mwonjwa anaweza kupata hisia kama njemba wake kamfikisha atakako.....kwa hiyo mchango wako hap abado ni muhimu.........huku ukijipima usafiri wako na uzoefu uliouona kweny majambozi............
 
HTML:
[B] [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: usafiri wa mwanamke.......kipimo cha uzuri wake? [/B]

    we  ruta, acha kutumia PHP  code, maandishi ni madogo na haionyeshi  umemnukuu nani. hebu rudi katika quote ya kawaida iliyozoeleka. ni  ushauri tu
 
asante kwa kunielewa

loud and clear.....................................lakini mchango wako wa uzoefu wako ukoje?????????
 
Mimi kufikishwa haina maana mfikishaji nae kafika. Inawezekana mfikishaji yeye anakaa mtaa wa pili! aaah

HTML:
Swali la Ruta nilivyolielewa laweza jibiwa na wanaume tu. Tena wanaume waliochakachua wanawake wenye maumbo tofauti. Mimi kama mwanamke siwezi jua kama nina utamu au la utamu anjua muonjaji. Kwa hiyo kama wenye sura nzuri ni watamu kuliko wenye miguu mizuri jibu analo huyo alotembea nao na maanake awe ametembea either na wote au mmoja wao. Naona wengi tunajibu kuwa who looks attractive but it should be who is a good perfomer.

lakini hata mwonjwa anaweza kupata hisia kama njemba wake kamfikisha atakako.....kwa hiyo mchango wako hap abado ni muhimu.........huku ukijipima usafiri wako na uzoefu uliouona kweny majambozi............
 
HTML:
[B] [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: usafiri wa mwanamke.......kipimo cha uzuri wake? [/B]

    we  ruta, acha kutumia PHP  code, maandishi ni madogo na haionyeshi  umemnukuu nani. hebu rudi katika quote ya kawaida iliyozoeleka. ni  ushauri tu
 
asante kwa kunielewa
loud and clear.....................................lakini mchango wako wa uzoefu wako ukoje?????????

inashangaza kidogo kuona kuwa unataka michango ya maoni yetu lakini hujali kama unatuumiza macho yetu ya thamani na PHP code zako! please change!

mchango wangu nimeishakupa naona unachagua kuelewa baadhi ya mistari na mingine unachagua kutoielewa. usipoangalia utakuwa na thread yenye kurasa chungu mzima lakini isiyo na jibu! ni heri ukawa tayari hata kuona thread yako ikiishia na kurasa moja lakini yenye jibu la kweli, sahihi na muafaka.

kurudia kidogo ni kuwa umekosea kwenye ku-conceive swali lako. miguu huweza kuvutia baadhi ya wanaume lakini haitoi taswira ya picha au ufanisi wa kilicho nguoni mwa mtu. mwili wa mwanadamu una viungo vingi sana, viko nje na ndani ya mwili. vipo vyenye kutofautisha jinsia na vile vya jisia zote, vipo vinavyovutia kuvitazama na vipo vyenye kuudhi kuvitazama, vipo vyenye kukubalika kukaa hadharani na vinavyopaswa kusitirika sirini nk nk. viungo hivi pia vinaweza kupangiliwa hierarchically by location, function, attraction nk.

kiungo unachochukulia hapa kuwa cha nguoni ni moja ya kiungo vya ndani na si cha nje. watu wengi wamekuwa wadhani kuwa uke uko nje ya mwili, lakini si sawa, uke ni kiungo cha ndani japo hisia za wengi ni kuwa kinena ndio uke wenyewe. kwa kuwa utamu unaosemw hapa unahusu uke, basi utamu huo unapatikana ndani na sio nje na kamwe hauwezi kukadiriwa kwa kutumia muonekano wa maumbile ya nje ambayo ni chakula na fahari ya macho tu. wengi wamekujibu vizuri sana juu ya kuwa utamu ni suala la hisia za mhusika zaidi na hakuna uhusiano wowote na mumbile ya miguu. nami nakubaliana nao.

hakuna nadharia yoyote ya sayansi ya maumbile (baiolojia), au ya jamii kwa maana ya saikolojia na soshoiolojia iliyowahi kupata uhusiano wa kiwango chochote wenye kutumainiwa wa viungo vya miili ya wanadamu. kama uko katikautafiti wa nadharia mpya, unaweza kuendelea na tutashukuru kama utatushirikisha majibu ya utafiti wako ukishayapata. ika kama na kwa mujibu wa maarifa yaliyopo tayari, basi hakuna uwezekana kama huo unaoudodosa.

utaangalia miguu sana lakini hutaweza kujua hayo ya nguoni hadi uyaonje mwenyewe kwa viungo vyako, kwa kweli hata ukisimuliwa na aliyekwishaonja hutaweza kuelewa kwa hakika yakoje hadi utakapoonja mwenyewe. surprisingly enough, ukishayaonja, utagundua hayatofautiani na ya wengine uliyokwishaonja kabla licha ya wao kuwa na tofauti kubwa ya maumbile ya miguu!!

inasemekana kuwa mke mwema ni tabia. kama ingekuwa ni mwili, wake wema wangekuwa wengi sana na uchaguzi wa mchumba ungekuwa rahisi zaidi kuliko ilivyo hivi sasa. likewise, mwanamke mtamu sio mwenye umbile la mwili la kuvutia, ingekuwa mwili ndio utamu, wanaume wenye wake walio na maumbile mazuri ya mwili (ikiwemo miguu mzuri) wasingehangaika nje ya ndoa zao tena na wale wamnaoonekana kuwa chini ya wake zao kimvuto!
 
HTML:
nasemekana kuwa mke mwema ni tabia. kama ingekuwa ni mwili, wake wema  wangekuwa wengi sana na uchaguzi wa mchumba ungekuwa rahisi zaidi kuliko  ilivyo hivi sasa. likewise, mwanamke mtamu sio mwenye umbile la mwili  la kuvutia, ingekuwa mwili ndio utamu, wanaume wenye wake walio na  maumbile mazuri ya mwili (ikiwemo miguu mzuri) wasingehangaika nje ya  ndoa zao tena na wale wamnaoonekana kuwa chini ya wake zao kimvuto!

Mwanaume kuzurura nje haitegemei sana na uzuri au tabia ya mkewe........................mwanaumme huwa ana sababu nyingine kabisa mara nyingi..............it is a low self-esteem..........na wakati mwingine ni udadisi, utundu..............au kutamani........kile ambacho hukijui............
 
HTML:
[HTML]hakuna nadharia yoyote ya sayansi ya maumbile (baiolojia), au ya jamii  kwa maana ya saikolojia na soshoiolojia iliyowahi kupata uhusiano wa  kiwango chochote wenye kutumainiwa wa viungo vya miili ya wanadamu. kama  uko katikautafiti wa nadharia mpya, unaweza kuendelea na tutashukuru  kama utatushirikisha majibu ya utafiti wako ukishayapata. ika kama na  kwa mujibu wa maarifa yaliyopo tayari, basi hakuna uwezekana kama huo  unaoudodosa. 
 
utaangalia miguu sana lakini hutaweza kujua hayo ya nguoni hadi uyaonje  mwenyewe kwa viungo vyako, kwa kweli hata ukisimuliwa na aliyekwishaonja  hutaweza kuelewa kwa hakika yakoje hadi utakapoonja mwenyewe.  surprisingly enough, ukishayaonja, utagundua hayatofautiani na ya  wengine uliyokwishaonja kabla licha ya wao kuwa na tofauti kubwa ya  maumbile ya miguu!!
Hapo sioni jibu.............conclusion yangu sasa ni kuwa maridhiano ya kitandani .................is a two way traffic.......................mwanaume kama siyo fundi anaweza kutupa lawama kwa mapungufu yake.............performance in bed is a function of desirability, mood, stamina, technique among many factors..........and in many ways the compatability sizes of the genitalia...............hata uhalali wa tendo lenyewe......ingawaje wako wanaosema kukosekana kwa uhalali kunaongeza shamrashamra.......................well Miss Judith thank for your input.......................ingawaje haya mengineyo hayakuwa ya lazima sana............................

HTML:
inashangaza kidogo kuona kuwa unataka michango ya maoni yetu lakini   hujali kama unatuumiza macho yetu ya thamani na PHP code zako! please   change!
 
mchango wangu nimeishakupa naona unachagua kuelewa baadhi ya mistari na  mingine unachagua kutoielewa. usipoangalia utakuwa na thread yenye  kurasa chungu mzima lakini isiyo na jibu! ni heri ukawa tayari hata  kuona thread yako ikiishia na kurasa moja lakini yenye jibu la kweli,  sahihi na muafaka.
 
kurudia kidogo ni kuwa umekosea kwenye ku-conceive swali lako. miguu  huweza kuvutia baadhi ya wanaume lakini haitoi taswira ya picha au  ufanisi wa kilicho nguoni mwa mtu. mwili wa mwanadamu una viungo vingi  sana, viko nje na ndani ya mwili. vipo vyenye kutofautisha jinsia na  vile vya jisia zote, vipo vinavyovutia kuvitazama na vipo vyenye kuudhi  kuvitazama, vipo vyenye kukubalika kukaa hadharani na vinavyopaswa  kusitirika sirini nk nk. viungo hivi pia vinaweza kupangiliwa  hierarchically by location, function, attraction nk
. naona it was a low blow............................
 
Hawana lingine la kufikiria na kuandika zaidi ya kile kilichoko kichwani mwao kwa wingi ambacho ni wanawake....
Hapo Michelle umenigusa, kila saa nafikiri wanawake maana hata Mungu alipoona Adamu hana mwenza akampatia Eva. Mimi siwezi kumsahau Eva maana ndiye mtuliza mawazo, mtuliza dhuluba.
 
Wengi utawasikia "Huyu asingekuwa mweupe sijui angekuwaje" mara "weupe" unambeba, mweusi ambaye ni mzuri anaitwa "black beauty" lakin cha ajabu hakuna "white beauty", ni weupe unaonunuliwa madukan

weupe kitu gani? Ubuyu wenyewe mweupe lakini unapakwa rangi..!!
 
Kuna kabila lina wimbo, "mkaile akazara kibonge kimala mawazo". Nadhani kina Kaizer na Ruta mnanielewa. Aaah. Nimekumbuka baada ya kukusoma.

Hapo Michelle umenigusa, kila saa nafikiri wanawake maana hata Mungu alipoona Adamu hana mwenza akampatia Eva. Mimi siwezi kumsahau Eva maana ndiye mtuliza mawazo, mtuliza dhuluba.
 
Hawana lingine la kufikiria na kuandika zaidi ya kile kilichoko kichwani mwao kwa wingi ambacho ni wanawake....

Mungu akasema tizama mtu huyu hajafurahia yote aliyopewa katika ulimwengu wote, basi na tumfanyie kitu kitakachomfurahisha....... akamlaza usingizi akachomoa ubavu wake mmoja kutoka mkono wake wa kushoto akafunika nyama yake na akamuumbia mwenza yaani mwanamke

KWA MUKTADHA HUO MWANAMKE NI AGENDA YA MWANAUME.
KWA MKTADHA HUO MWA
 
haley Berry ana miguu mibaya lakini bado anaitwa mwanamke mzuri sana duniani kwa hiyo nafikiri uzuri wa mtu upo ndani yake mwenyewe. au vipi rafiki
 
Mungu akasema tizama mtu huyu hajafurahia yote aliyopewa katika ulimwengu wote, basi na tumfanyie kitu kitakachomfurahisha....... akamlaza usingizi akachomoa ubavu wake mmoja kutoka mkono wake wa kushoto akafunika nyama yake na akamuumbia mwenza yaani mwanamke<br />
<br />
KWA MUKTADHA HUO MWANAMKE NI AGENDA YA MWANAUME.<br />
KWA MKTADHA HUO MWA
<br />
<br />
Kweli wewe una mambo agenda ya mwanaume kivipi? Mtumwa au?.. ai mifume dume na mimi mbalimbali
 
Back
Top Bottom