Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
Mimi ni mweusi kuliko mkaa, ila weupe usio wa mkorogo unapendeza sana. Kila mtu ana mapenzi yake. Wote tunameremeta mweeee!
Tutake radhi mimi na lizzy dearest.
PHP:Na mimi mwenye miguu kamachupa ya pepsi inakuaje????
Wanasema mashine ni kubwa kama chungu sasa sijui kama ni kweli????????????????????
Mungu akasema tizama mtu huyu hajafurahia yote aliyopewa katika ulimwengu wote, basi na tumfanyie kitu kitakachomfurahisha....... akamlaza usingizi akachomoa ubavu wake mmoja kutoka mkono wake wa kushoto akafunika nyama yake na akamuumbia mwenza yaani mwanamke
KWA MUKTADHA HUO MWANAMKE NI AGENDA YA MWANAUME.
KWA MKTADHA HUO MWA
Hakuna ukweli.
Sometimes in the eyes of the "Beer Holder"Sometimes in the eyes of the 'Bear Holder'
Wapo tena wengi tu,...tena pamoja na hizo sifa ulizotaja ongeza hizi_elimu nzuri,sauti n.k wanapatikana zaidi dunian hasa kwa kina iwe........kwa kawaida binadamu wote ha2ko sawa...kuna baadhi ya wanaume wanampenda msichana mwenye sura nzuri,wengine mwenye umbo zuri,wengine mwenye macho mazuri,jinsi anavyotembea,kuongea na wengine wanaangalia tabia nzuri...sasa swali ni kwamba utaweza kumpata msichana mwenye sifa zote hizi...?