Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

hivi nyie mnamatatizo gani??

tumechoka na hizi mada za wanawake!!! nyie mkiaanzishiwa mada hapa mwaruka ka Tai!!!
 
PHP:

Oh Suzie bila ya wanawake hakuna mahusiano...........................tungependa nasi mtueleze mnavyotuona...........................na huko ndiko kujifunza................................tusivyofanya hivyo jukwaa hili litasinzia kwa sababu tutakuwa tunafichana ukweli........................
 
PHP:
hivi nyie mnamatatizo gani??

Tatizo letu ni udadisi wa kiubinadamu tu......................mbona nanyi ma mengi ambayo huuliza.................au hii topic is too personal to you? Have you been hurt by it? Please share that anger with us................will learn not to repeat it .........just in case....................
 
hivi nyie mnamatatizo gani??

tumechoka na hizi mada za wanawake!!! nyie mkiaanzishiwa mada hapa mwaruka ka Tai!!!

Hawana lingine la kufikiria na kuandika zaidi ya kile kilichoko kichwani mwao kwa wingi ambacho ni wanawake....
 
kama mwanamke amekatika miguu je? so kama mwanamke ana matege au miguu mwembamba au mnene una reflect undani......? :smile-big:
 
Hahahahaha! Tuko juu! Wanatufikiria 24/7, shauri yao.

we acha tu....em ngoja niangalie miguu yangu then niende room nijiangalie undani wangu kama naweza gundua kitu.....kazi kweli kweli....:A S 39:
 
Yapo maono ambayo sijui kama yamethibitishwa au ni ya kihisia tu ya kuwa na yanayodai kuwa "usafiri" kwa maana miguu ya mwanamke inakupa picha ya "uzuri wake" kiundani au sijui niseme kinguoni zaidi.ninajaribu kutumia maneno ambayo hayakwaruzi............lakini ninaamini nimeeleweka...........................

Swali langu huu utafiti wa "usafiri" kuthibitisha "uzuri" wa mwanamke umefanyika lini au kwa namna gani na je kuna ukweli kwenye hilo?

Naona hii mada ni ya nyie guys, maana mnaelewa zaidi... Alaf thread za safari hii naona mmetuapania!
 
hahahahahaha! Inabd nikuige! Raha tupu hapa Jf. Umenchekesha sana Michelle!
we acha tu....em ngoja niangalie miguu yangu then niende room nijiangalie undani wangu kama naweza gundua kitu.....kazi kweli kweli....:A S 39:
 
PHP:
hivi nyie mnamatatizo gani??

tumechoka na hizi mada za wanawake!!! nyie mkiaanzishiwa mada hapa mwaruka ka Tai!!!

Oh Suzie bila ya wanawake hakuna mahusiano...........................tungependa nasi mtueleze mnavyotuona...........................na huko ndiko kujifunza................................tusivyofanya hivyo jukwaa hili litasinzia kwa sababu tutakuwa tunafichana ukweli........................

best hatukatai lakini humu mmezidi!!
kuna mada nyingine kule kuhusu mweupe na mweusi mzuri nani, mara wa chuo na wadarasa la 7 nimuoe nani? matokeo yake mtasema kiuno chembaba na kinene kizuri kipi!!

aaaaaaaaaaaaahhh tumechoka jamani!!
 
Michele umeona dada ee!!

ndio Susy wangu....niko katika utafiti binafsi nitakuja na majibu baadaye kidogo....l.o.l

Uwe na weekend njema Susy....Mungu akutunze.
 
hahahahahaha! Inabd nikuige! Raha tupu hapa Jf. Umenchekesha sana Michelle!

Please do so,ili tuweze kumjibu Rutashubanyuma kwa ukamilifu.....l.o.l....mwenzio nimeita na watu wengine wawili ili nao watoe majibu...usione sooo...do that...l.o.l
 
Susy hawa ndo mana wanauziwaga mbuzi kwenye gunia, na tunawapatia haswa, ukiona wanashobokea hips, nenda kwa mchina, mshahara wote mwisho wa mwezi anakukabidh, miguu kwa mchina pia ipo, weupe ndo usiseme! Wamesahau UZURI wa mwanamke sio hips, miguu, weupe, weusi n.k. Kazi wanayo.
best hatukatai lakini humu mmezidi!!
kuna mada nyingine kule kuhusu mweupe na mweusi mzuri nani, mara wa chuo na wadarasa la 7 nimuoe nani? matokeo yake mtasema kiuno chembaba na kinene kizuri kipi!!

aaaaaaaaaaaaahhh tumechoka jamani!!
 
best hatukatai lakini humu mmezidi!!
kuna mada nyingine kule kuhusu mweupe na mweusi mzuri nani, mara wa chuo na wadarasa la 7 nimuoe nani? matokeo yake mtasema kiuno chembaba na kinene kizuri kipi!!

aaaaaaaaaaaaahhh tumechoka jamani!!

Asante.
 
Susy hawa ndo mana wanauziwaga mbuzi kwenye gunia, na tunawapatia haswa, ukiona wanashobokea hips, nenda kwa mchina, mshahara wote mwisho wa mwezi anakukabidh, miguu kwa mchina pia ipo, weupe ndo usiseme! Wamesahau UZURI wa mwanamke sio hips, miguu, weupe, weusi n.k. Kazi wanayo.

umesema ukweli sana waambie 'what you see is not always what you get"...furahia weekend yako!
 
PHP:
Hakuna ukweli.

Kama umenielewa vizuri ni kuwa..............it is only men who can offer the real answer................kwa sababu uzuri huo haupimwi kwa macho ila kwa kuonja tunda...................mwanamke huwezi kujionja mwenyewe inabidi uonjwe.....na mwonja tunda hujua kama ni tamu kweli...............
 
Susy hawa ndo mana wanauziwaga mbuzi kwenye gunia, na tunawapatia haswa, ukiona wanashobokea hips, nenda kwa mchina, mshahara wote mwisho wa mwezi anakukabidh, miguu kwa mchina pia ipo, weupe ndo usiseme! Wamesahau UZURI wa mwanamke sio hips, miguu, weupe, weusi n.k. Kazi wanayo.

teh teh teh u have make my wk end my love!!!

wataisoma no!! kama ni plate no ya gari au ndio no ya simu!!!
 
Back
Top Bottom