Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Utamu wa mashine ni relative term. Ni suala la kisaikolojia zaidi. Ukishapenda, regardless of anything, mashine itakuwa tamu. Utamu wa ile kitu si sawa na sukari, kwamba ina ladha moja....Utamu hutegemea na mtu na mtu.....yaweza kuwa tightness, joto, namna anavyoitumia, miguno anayotoa, caressing, positions et el.

Kama mimi sina mahaba na miguu, haimaanishi mwanamke akiwa na miguu mizuri lazima atanipa utamu wa mashine yake kitandani...NO WAY!....babu anarudia tena....MIGUU SIYO KIGEZO CHA UZURI/UTAMU WA MWANAMKE.

Babu anarudi kitandani kuuangalia uzuri wa sura ya bibi yenu.

Babu umemaliza hapo
 
kuna msemo nimesikia kwa wanaume wanawake
wenye magoti yameshikana ndio kiboko kwa utamu je
hapo inakuwaje
kila mtu anapata utamu wake kuendana na wanavyopelekana

Hivi wakisema kila mtu ajichagulie mwenza kutokana na picha za JF nani atadoda, na nani atakimbiliwa? Ahh. Nimekuwa najiuliza maswali sana kuhusu hizi picha. Mfano picha ya Asha na Saweboy?
PHP:
babu i love you! Agiza kinywaji bil lete kwangu!

Ni lini utaweka picha ya avatar wako humu SweetLady?
 
Nakumbuka tukiwa wadogo nina kaka yangu alimtukana rafiki yangu "miguu utadhani umepiga sarakasi unatembelea mikono" Kesi ilikuwa kubwa hiyo. Kisa kamkataa.

Kwetu sisi wabongo usafiri ni kiungo muhimu sana kwa mwanamke... usafiri mzuri unampa uhuru wa kuchangua nguo za kuvaa kwa amani sana, kinakufanya ujiamini zaidi barabarani, hata kwa wanawake wenzio.......... la sivyo utasikia, huyu naye, milonjo mibaya kama nini na haoni hata aibu kuionyesha!!!!!!
 
The finest usitunyime tafsiri yako kwenye hizi picha ulizozitundika............................zinatoa ujumbe gani?

PHP:
[B][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: usafiri wa mwanamke.......kipimo cha uzuri wake? [/B][PHP]

[IMG]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=28762&d=1304166425&thumb=1[/IMG][INDENT] . [/INDENT][/QUOTE]

Hizo picha za TF sidhani kama ni miguu tu ndo ameangalia hapo ,,,,
 
Hivi wakisema kila mtu ajichagulie mwenza kutokana na picha za JF nani atadoda, na nani atakimbiliwa? Ahh. Nimekuwa najiuliza maswali sana kuhusu hizi picha. Mfano picha ya Asha na Saweboy?

LOL....NK acha ukorofi wewe.... Avatar yangu mbona poa tu, kwanza ktk hilo zoezi hata nikikosa mwenza ndo poa nitakua matron wenu... lol
 
Asha D. yaelekea mwoga wewe wa kutokewa ndo maana unaweka picha ya kutishia watu. Nina hakika hiyo picha ni opposite. Najaribu kutumia saikolojia ambayo sijasomea na kuconnect chaguo lako la picha na wewe mwenyewe. Ningekuwa mwanaume na naambiwa nichague, wewe ungekuwa chaguo langu la kwanza aisee.

.....NK umenishinda! No comment...
 
For sure iyo kitu Uliyosema ina-reflect something.ni kama kava ya Riwaya huwa ina SADIFU yaliyomo...
 
daahh
thread nyingine bwana..
nasubiria mtabiri wa viganja
 
PHP:
kuna msemo nimesikia kwa wanaume wanawake 
wenye magoti yameshikana ndio kiboko kwa utamu je
hapo inakuwaje
kila mtu anapata utamu wake kuendana na wanavyopelekana

Na hii imeniacha hoi........................mnaweza kupelekana na Ikulu mdabwada? Labda kuvumiliana kwa sababu love conquers it all..........
 
we ruta, acha kutumia PHP code, maandishi ni madogo na haionyeshi umemnukuu nani. hebu rudi katika quote ya kawaida iliyozoeleka. ni ushauri tu

asante kwa kunielewa
 
kila mtu ana criteria yake ,wapo wanao angalia uso,wapo wana angalia back side, wapo wanao angalia kifua, hivyo basi everywoman has got something beauty for men, and it all depend on what u find is attractive to you
 
Back
Top Bottom