Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Wapo wenye sifa zote hizo.
 
Ukarimu, lugha, staha, uoga wake kwa Mungu, kujijali kwake i.e. usafi wake binafsi na mazingira yanayomzunguka.
 
kuwa navyo vyote ni ngumu ila baadhi inawezekana...ila kiupande wangu napenda mwenye nyamanyama na rangi fulani white hivi...
 
kwa kawaida binadamu wote ha2ko sawa...kuna baadhi ya wanaume wanampenda msichana mwenye sura nzuri,wengine mwenye umbo zuri,wengine mwenye macho mazuri,jinsi anavyotembea,kuongea na wengine wanaangalia tabia nzuri...sasa swali ni kwamba utaweza kumpata msichana mwenye sifa zote hizi...?
You as a man, will never find a woman who is 100% perfect and complete according to your interests.... On the other side, as a woman, will never find a man who is 100% perfect and complete according to your interests....! But, we normally look for a person who you can modify and sort her/him to fit your interests and needs....! Fro example, to train her/him to adopt a behavior that you like, and staying away from your dislikes....! However, there are some characters a person may posses, that could never be changed by anyone, but, you have to think on your own whether they are acceptable or tolerable to you....! Otherwise, that is not the one perfect to you...!
 
kwa kawaida binadamu wote ha2ko sawa...kuna baadhi ya wanaume wanampenda msichana mwenye sura nzuri,wengine mwenye umbo zuri,wengine mwenye macho mazuri,jinsi anavyotembea,kuongea na wengine wanaangalia tabia nzuri...sasa swali ni kwamba utaweza kumpata msichana mwenye sifa zote hizi...?

unajua Dume la Nyani ngoja nikwambie,
huwezi ukapata jibu la moja kwa moja hapa,
kuwa mwanamke mzuri ana sifa hizi,
kwani uzuri wa mwanamke kila mtu anaudefine tofauti/kivyake,
hata hivyo, kwangu mimi nadhani uzuri wa mwanamke inategemea,
na wakati, nia na mahali muafaka,
hapa ninamaanisha kuwa inategemea kuwa huyo mwanamke,
unamuhitaji kwa mahusiano gani, kwa kipindi cha muda gani na kwa lengo lipi,
ukiweza kutoa kusudi la hayo mahitaji basi uzuri wa mwanamke unaweza,
ukau define accordingly!!!!!!!!!!!
 
neno uzuriii wa mwanamke ni broad sanaa,kilaa mtu ana sifaa anazo ziitaji kwa mwanamke wa maisha yake.nivizuri ukapata kile unachopenda kuliko kizurii kikakutesaaa
 
mmeshasema uzuri wa mwanamke,
na mmejiuliza uzuri wa mwanaume?
Sifa unazotaka kwa mwanamke wewe unazo?

Kama huna sifa hizo na utaka mwanamke mwenye hizo sifa basi huna tofauti na mwanamke anaetaka mwanaume mwenye hela nyingi bila kujua zimetoka wapi?
 
jamani cyo kweli kwangu mimi binafsi binti mweusi ndo mara zote anauteka moyo wangu naamini hata wakati ntapoamua kutafuta mchumba nitatafuta mweusi[natural colour],naamini hili linategemea how you persive.
 
uzuri wa mwanamke sports figure ,sura, moyo mzuri na hekima vingine vyote vitajileta….
 
acheni kuzungusha maneno,uzuri wake upo kwenye "K"
 
Kwangu mimi ni yule asiye tipwatipwa, awe na mwili wa wastani ambao unaweza hata kumbeba, kingine tabia muhimu!!
 
Back
Top Bottom