sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Sitaki kubebwa, nataka KakaJ ajue nna mahasira ya kuua mtu na pia aprove kuwa sina miguu mibovu.PHP:KakaJ ntake radhi la sivyo naandamana kwa miguu from Ar to huko uliko, nkifika ndo utajua kama miguu yangu ni mibovu au la!
Ikifikia huko itabidi nikubebe ili usichoke............................hadi umfikie..............................