Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Wengi utawasikia "Huyu asingekuwa mweupe sijui angekuwaje" mara "weupe" unambeba, mweusi ambaye ni mzuri anaitwa "black beauty" lakin cha ajabu hakuna "white beauty", ni weupe unaonunuliwa madukan

Tindikali, upo msemo wao weupe, I believe it goes kua "white is wonderful" ila tafsiri yake ndo issue sijui wonderful positively au negatively.

Anyways wanaposema weupe una mbeba mara nyingi hua inakua kweli kwa baadhi ya wadada mana its common knowledge binti akipita kama ni mweupe chances za watu kutaka kumwangalia vizuri ni kubwa kuliko akiwa dark.
 
hapo pana ukwel, weupe wanaonekana zaidi
 
i like whites, wanavutia zaid na ni wazuri zaid....ukiacha agbani darego, kuna black miss world?
 
Kwani weupe ni kuwa jirani na uzungu au kuukimbia uafrika? I lyk my home.
 
PHP:
Tindikali, upo msemo wao weupe, I believe it goes kua "white is  wonderful" ila tafsiri yake ndo issue sijui wonderful positively au  negatively.  
 
Anyways wanaposema weupe una mbeba mara nyingi hua inakua kweli kwa  baadhi ya wadada mana its common knowledge binti akipita kama ni mweupe  chances za watu kutaka kumwangalia vizuri ni kubwa kuliko akiwa dark.

Nijuavyo kasumba aliyotuachia mkoloni yaendelea kuibuka kidedea..................rangi si kila kitu...........zipo nyeupe zenye mvuto mkali lakini kuna nyingine wacha tu....................hasa zile za kuchakachua.......
 
Yapo maono ambayo sijui kama yamethibitishwa au ni ya kihisia tu ya kuwa na yanayodai kuwa "usafiri" kwa maana miguu ya mwanamke inakupa picha ya "uzuri wake" kiundani au sijui niseme kinguoni zaidi.ninajaribu kutumia maneno ambayo hayakwaruzi............lakini ninaamini nimeeleweka...........................

Swali langu huu utafiti wa "usafiri" kuthibitisha "uzuri" wa mwanamke umefanyika lini au kwa namna gani na je kuna ukweli kwenye hilo?
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom