Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Mkuu unaishi duniani kweli yaan kisusio ni mboga ya damu na tena inapikwa damu peke yake? Hyo haikua kisusio mkuu.

Naishi sayari ya dunia hii hii...
Au basi majina ni tofauti..
Ndiyo maana nimeandika kwa tahadhari mkuu.
 
Kitu cha utumbo na ugali... 💪🏼 Mboga nane leo 😂
Screenshot_20210802_213959.jpg
 
Back
Top Bottom