
Inakuwaje leo j'2 hatuli pilau?
Tumbo langu halipo poa.Inakuwaje leo j'2 hatuli pilau?
Hivi ni vinin?
Kwa Dar kinapatikana wapi mkuu?
Huyo alie pika hicho chakula hata nikimpa mahali milioni tatu ni sawa kabisa maaana si nitajenga shavu


Umenikumbusha leo hii hii nalala nayo mbere.Mihogo ni chakula kitamu jaman ukipata ile milaini either ichemshwe unywe na chai au ikaangwena kachumbari au chachandu
Pia n chakula ambacho kinaweza kuliwa muda wowote asubuh mchana jion au usiku
Binafsi napenda Sana mihogo.
Hii tumetengeneza wenyeew nyumbani...lakin bar nyingi za kimara,mbezi kisusiio kipoooKwa Dar kinapatikana wapi mkuu?
Mimi natengenezaKwa Dar kinapatikana wapi mkuu?

Mmetengeneza nyumbani, nyumbani ni wapi tuje kuchukua?Hii tumetengeneza wenyeew nyumbani...lakin bar nyingi za kimara,mbezi kisusiio kipooo

🏃🏃🏃Mimi natengeneza![]()
kiwembe kimefanya yake