Kwa CHSS huwa napakubali Sana VIP kule juu kuliko hapo ATM.@CHSS CAFETERIA 1 View attachment 1870037
Unanikana mchana kweupe?!😳😳😳
Mimi ndiye kaka yake,nakupa bure kabisa huyu msumbufu wala simtaki tena hapa nyumbani.Mahari ni kajogoo kamoja tu mkuu😁😁😁Nipe njia sasa nifanyeje!
Maana hutii hasara, huli sana nahisi hata matumizi ya nyumbani yatapungua kwa 50%
Dada yangu Angel Nylon hebu mthaminishe wifi yako mtarajiwa!!![]()
Aki ya NaniMimi ndiye kaka yake,nakupa bure kabisa huyu msumbufu wala simtaki tena hapa nyumbani.Mahari ni kajogoo kamoja tu mkuu![]()






















Wewe ni msumbufu sana hapa nyumbani ndiyo maana hata umenikana.Sikutaki kabisa hapa nyumbani,huyo jamaa hata akileta Paka mmoja kama mahari yako sawa tu😁😁😁Aki ya Nani
Jogoo mmoja!!
Hizi ni dharau kwa wazazi
Hata hivyo mama anatamani nisiondoke..niendelee kumtunza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni msumbufu sana hapa nyumbani ndiyo maana hata umenikana.Sikutaki kabisa hapa nyumbani,huyo jamaa hata akileta Paka mmoja kama mahari yako sawa tu![]()



Jamaa akileta Paka unaondoka.
Matunda, nayakubali!@CHSS CAFETERIA 1 View attachment 1870037
😂 😂 😂Baada ya huo mlo ukijamb@ huo ufyuzi unaotoka harufu yake ni zaidi ya conc. Sulphuric acid dadadadeq!
Sijapenda hapo ulipojifananisha na mbuzi!Ujue kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.
Yawezekana kamba yangu ni fupi
Sent using Jamii Forums mobile app


