Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Hivi chief chapo maana yake nini?
Hivi chief chapo maana yake nini?
Wewe! Si ulikataa si kaka yako!? Naendelea kutafuta Paka!Kwahiyo Kumbe nivunje tu ukaka.
Kaka gani haumsikilizi mdogo wako![]()



Ukifika mtumbani unapokelewa kama hivView attachment 1878130
KahawaHizi ni nini?
Viinega,soy source,hilal moto na chumvi basiiUmewaweka viungo?
Mbuzi na choma kwa kutumia chumvi tuUmewaweka viungo?
Chief mimi si mtaalam sana wa kuchoma mbuzi, lakini nikitaka kuchoma mbuzi vizuri nafanya ifuatavyo, naanza kwa kuchoma kwa moto wa kawaida kutumia tangawizi na chumvi hadi akishawiva lakini asikauke sana. Baada ya hapo pembeni naandaa tangawizi ya kusaga kama rojo rojo naweza ichanganya na chumvi sio nyingi sana. Sasa ile nyama ambayo imeshawiva naipasua kuweka michirizi na kupaka huo mchanganyiko na kurudishia kwenye moto mdogo mdogo, kama ni yale majiko ya kufunika nafunika kama dakika 5 - 10 hivi! Balaa la hapoMbuzi na choma kwa kutumia chumvi tu



mbona kama umeshtuka hivi

kaa kwa kutulia tuelewane vizuri,umeuliza nn ati!?Nimeuliza hivi wewe ni Rugemalila, au Kyaruzimbona kama umeshtuka hivikaa kwa kutulia tuelewane vizuri,umeuliza nn ati!?















Nimeuliza hivi wewe ni Rugemalila, au Kyaruzi![]()

mimi ni wote,both a NA b NI correct.8 405 1235mimi ni wote,both a NA b NI correct.


Nterela nikugambile! 














Huo mwingine wote ni utani tu! Nilishangaa pamoja na kulike ile creative ya skeleton! Iko goodmimi ni wote,both a NA b NI correct.


