Hakuna shida ndugu EmiirHuo mwingine wote ni utani tu! Nilishangaa pamoja na kulike ile creative ya skeleton! Iko good![]()
Hapa Nshomile umenikamata(sijaelewa), nakumbuka nilijifunza mpaka hii lugha lakini wapi!4 585 2690
Chashef uhiosao jeh


















Wewe ni doctor?
HapanaWewe ni doctor?
Hapa utakuwa umenipatia ninachotaka
Lizzy ulipotelea wapi?
Mbn umejiekea kidogo hivyo au utapiga kwa wiki nzimaDemu wangu kaniambia eti dagaa ni mboga za "masikini". Amegoma kupika.
Nimemtimua getto, nikaingia jikoni mwenyewe.
View attachment 1858180
Nakula simbakishii hata punje.
View attachment 1858190
Inaelekea wewe ni mtu na nusu mamaa!!