Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Screenshot 2021-08-02 at 16-11-43 Instagram.png
 
No!Kisusio kilichopikwa na dada siyo kitamu kwa sababu wadada huwa hawapatani na damu ndiyo maana nikakataa kuwa sitaki uniandalie wewe apo
Mimi nachinja hadi ng'ombe
Damu kitu gani?

Umenikumbusha jana almanusura tushindwe kula nyama,,wa kuchinja kuku hakuwepo.
Kwa kweli Mimi ndege/mnyama nikishamuona anavyouliwa au nikimtia machoni baada tu ya kuchinjwa basi siwezi kumla.
 
Wewe kisusio unakijua?
 
Back
Top Bottom