Uzi wa vyakula tu

mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
16,025
2,000
Unaitwa Mnavu, hii ni mboga ya watu wenye asili ya tanga(wazigua) Mnavu mbali na utamu wake, lakini tena huongeza damu kwa watu wenye matatizo ya kupungukiwa na damu na hata maafisa wa afya huwashauri wananchi kutumia mboga ya mnavu ili kuinarisha MFUMO wa damu yao mwilini. View attachment 1871221
Ndio ndio. Hapa Arusha wanalima sana na ni maarufu hii mboga, ni tamu hakika
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,956
2,000
Kameiva
IMG_20210728_114534.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom