ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,642
- 57,017
Na kesho tena
😂😂 !kweli babu chura hapanaAsikusingizie bana,kaa hukuhuku kwa wasiopenda chura tubingilishane
Mihogo ni chakula kitamu jaman ukipata ile milaini either ichemshwe unywe na chai au ikaangweKwenye huu uzi naona mihogo imekuwa mingi sana

na kachumbari au chachandu 
Pole... 😂 😂 😂Ushauri mzuri,tatizo wengine tunakuja kutafta njaa humu,bila fimbo hatuli.
Sasa mara unakumbana na misosi ya ajabu tena.
Kiujumla ile jana sijala kabisaaa baada ya kuona ile post
Ile mbegu uliipata?
Sina tena interest na mbegu ya mint,interest yangu sasa hivi nikukutapeli tu wewe apo Mrs Van😁😁😁Ile mbegu uliipata?
Sina tena interest na mbegu,interest yangu sasa hivi nikutapeli tu wewe apo![]()




khaaa. Mie mwenyewe tapeli sijui utaanzia wapi kunitapeli🤣🤣🤣khaaa. Mie mwenyewe tapeli sijui utaanzia wapi kunitapeli
Kwa hisani ya nani mzee?..maana mapigo yamebadilika..Yarpi Markez nini?Sote tuunganeView attachment 1876102