Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Mie nimeshajizoesha bila na yanatokea vizuri tu.Mimi huwa naweka ili ziwe laini.
Mie nimeshajizoesha bila na yanatokea vizuri tu.Mimi huwa naweka ili ziwe laini.
HongeraKuna mahala nimepata japo Na dagaa wa kwetu.. haikuwa mbaya... Nilikosa bamia tu.. roho imetuliaa kabisa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uje unisaidie mwenzio, usinicheke
Tutakuja na zoezi la kitumbuaUkiendelea kuniita mpishi hodari utashangaa siku na mie naanza kujiita hivyo
we unga ulikuwa mgumu kiasi gani mpaka yawe magumu hivyo??
Next time embu jaribu kukanda unga ambao ukibonyeza unabonyea kirahisi. Alafu weka hamira ya kutosha & acha uumuke vizuri.
Hizo mbwembwe za butter mie huwa sifanya maana sipendi vitu vingi vingi. So huwa naweka Unga, Hamira, Mafuta kidogo, Chumvi kidogo na Sukari. That's it!!!!

Unga nusu kilo kipimo cha hamira unatakiwa iwe kiasi gani?? Nipe vipimo kwa kutumia kijiko cha chakulaHazard CFC poleni sanaEmbu siku nyingine jaribuni kwa kuweka simple ingredients tu (Unga/Hamira/Mafuta/Sukari/Chumvi/Maji) alafu muone itakuwaje.
Mkikanda unga usiwe mgumu sana na pia muache uumuke kabisa!! Yani kama ukikanda unakuwa nusu kwenye chombo....uache uumuke mpaka ujae kwenye chombo ndio zoezi la kukaanga lianze. Na ukitaka uumuke vizuri uweke sehemu yenye joto la wastani (mf. juani, pembeni ya jiko au hata kwenye oven ila hapa inabifi uwashe kidogo ipate joto alafu uzime ndo uweke unga wako).
Nahisi kile kipakti kimoja kinatosha maana mie unga wangu (makadirio lakini sio exact measurements) around 1kg huwa naweka pakti mbili kasoro/moja na nusu ya hamira.Unga nusu kilo kipimo cha hamira unatakiwa iwe kiasi gani?? Nipe vipimo kwa kutumia kijiko cha chakula
Kongoroooooo, hivi kwanini mkia huwa mtamu sana
Bi mkubwa anakanda andazi anaandaa moto analichoma na linatoka zuri hatari,Hazard CFC poleni sanaEmbu siku nyingine jaribuni kwa kuweka simple ingredients tu (Unga/Hamira/Mafuta/Sukari/Chumvi/Maji) alafu muone itakuwaje.
Mkikanda unga usiwe mgumu sana na pia muache uumuke kabisa!! Yani kama ukikanda unakuwa nusu kwenye chombo....uache uumuke mpaka ujae kwenye chombo ndio zoezi la kukaanga lianze. Na ukitaka uumuke vizuri uweke sehemu yenye joto la wastani (mf. juani, pembeni ya jiko au hata kwenye oven ila hapa inabifi uwashe kidogo ipate joto alafu uzime ndo uweke unga wako).
Jana nimetafuta kongoro nimekosa..

Hiyo chapati ni kiboko kabisa