livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,973
- 5,629
Kono , kono kweli yani
Mtaalam wa hizi kazi!Mdudu na mchichaaView attachment 1630679
Hapo nasubiri afike tusonge ugalii laini na wine halafu nimleeMtaalam wa hizi kazi!


Siku hizi si umeshastaafu mkuu?Hapo nasubiri afike tusonge ugalii laini na wine halafu nimlee![]()
Nitakuja kukusaidia.Uje unisaidie mwenzio, usinicheke
Leo mbona umenitamanisha hivyo
Umenifanya nikumbuke kitimoto cha moshi x masss hiyooooooo, nawahi mapema kabisa nikachukue nambaMdudu na mchichaaView attachment 1630679
Hii kitu yenyewe kabisa,kuna mtu niko naye hapa kwenye bus siti ya karibu hatujaongea tangia safari imeanza ubungo,lakini baada ya kufungua hii picha tumeanza kuongea.Mdudu na mchichaaView attachment 1630679
Lizzy mautam 😋😋😋Leo maandazi Iceberg9 ...karibu 🙂🙂View attachment 1629994View attachment 1629995View attachment 1629996
Sukari, mafuta na baking powder nikupikie kitu laiiini.
Wewe jamaa ukipost tu najua ni mapaja na vipapatio vya kuku unaniua aisee kuku wa kienyeji ni habar nyengine!

Kumbe upo vizuriiii ohhhh such a nice girlSukari, mafuta na baking powder nikupikie kitu laiiini.
, ngoja tupange ratiba basi ole wako uunguze maandazi
sitakupa zawadi 



Leo mbona umenitamanisha hivyo
