Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
nimetamani hapa na njaa inavyoniuma
nimetamani hapa na njaa inavyoniuma
Kumbe nawe ni mlaji ugali?nimetamani hapa na njaa inavyoniuma
Mbona tunatesana hivi
noma sana
Labda unga ulikuwa mlaini sana MNANSOLizy unaweka nini kwenye kalmati? mimi last two weeks nilipika niliweka hamira tuu, aiseee zilikula sana mafuta yangu had nilijuta na zikawa zinakinai kooni, itakua nilikosea wapi?
Haya ndio maisha, sio kusindikiza wanaoishi.
Matumizi mabaya ya mboga.
Sababu ambayo naweza kuifikiria haraka haraka ni kwamba pengine unga haukuwa umeumuka vizuri??🤔Yangu ukiyabonyeza yanabonyeka sana....ndani yameachana.Nilikoroga unga na maji ya vuguvugu na hamira, unga ulikua sio mzito sana
ndiyo huwa nikitamani nakula mchana ingawa kwa week sili zaidi ya mara mojaKumbe nawe ni mlaji ugali?