Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kitafunio cha kifungua kinywa asubuhi hii kwa chai ya Tangawizi
020040185221.JPG
20200405185248.JPG
 
nimekaanga dagaa kidogo walipokauka nikaweka kitunguu maji then nyanya nikaacha ziive nikaweka karanga nikakoroga zilipochanganyika vizuri na nyanya na dagaa nikaweka mchicha..nikaacha kama dakika 5 nikaipua.
Umeeandaaje hiyo mboga miss?
 
Back
Top Bottom