The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Simple and healthy😋
Simple and healthy😋

Njoo na bia tumle!![]()
Nimejiuzulu kuwa Vegetarian!Nipate Kitambi.
Hivi wewe si ulikua vegetarian?





Bloo,utam unaoupata hapa ni zaid ya utam ule ukiwa na papuch.
Wandugu hiyo rangi ya wali ni rangi ya wali wa Dar?Mchana mwemaa wandugu..!View attachment 1412541


Mimi nitakufundisha ili zitoke hivi!


Ntashukuru dia...ukiniwekea na ya maandazinikitulia nitakuandikia![]()


My dear nimepika kachori mara mbili lkn zinafunguka viazi vinatoka sasa sijajua ninakosea wapi!?chemsha viazi ponda vikiwa vyamoto weka chumvi ndimu ya kutosha pilpili , manjano kama unayo zungusha viduara ..
Chukua ngano unga weka maji uwe mzito size ya uji bandika mafuta ..
Tia vidonge vyako kwenye unga dumbukiza kwenye mafuta makali kama dk 5 tayari
Sent from my iPhone using JamiiForums