dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Swadakta!kitu basmat
Swadakta!kitu basmat
Aliisha na sikushibaAisee! Huyo samaki tu, utamaliza? Kweli
Hahah ndiooNaona umehamua kulipiza kisasi cha kuku wangu mkubwa!![]()
Watu wembamba ni hatari sana kwa kula!Aliisha na sikushiba
100% afya!Ndizi viazi na vitunguu vingii na firigisi na mboga mboga na spinach pembeni View attachment 1408824
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan kuna muda uwa nakula mpaka najishtukiaWatu wembamba ni hatari sana kwa kula!
Miss hizo ni kababu!?

