Galbi
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 406
- 618
sio hata tamu😏
sio hata tamu😏
hapa ni skewers?


Siyo haram hii?

Ngoja nisogee na bakuli la maharage!




Umetumia viazi vipi?My dear nimepika kachori mara mbili lkn zinafunguka viazi vinatoka sasa sijajua ninakosea wapi!?

Najua lazima wanaume wa Dar wakiona hii nguna lazima watetemeke!Uko pekeyako?
Jr![]()





Nimetumia viazi vinavyotumika kwa chipsi mkuuUmetumia viazi vipi?
ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ![]()
Ili ziwe nzuri na mviringo usivurugike, tumia vile viazi vyekundu maarufu viazi vya Mbeya.Nimetumia viazi vinavyotumika kwa chipsi mkuu

Yanauzwaje kwa hilo gallon la lita 5?

Thanx a lot mkuu!!but nimetumia hivyo hivyo lkn sijapata matokeo chanya au hazitakiwi kugusana zikiwa kwenye mafuta!?Ili ziwe nzuri na mviringo usivurugike, tumia vile viazi vyekundu maarufu viazi vya Mbeya.
ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ![]()
Zinaweza kugusana ila mafuta pia yawe mengi ili zizame na kuelea.Thanx a lot mkuu!!but nimetumia hivyo hivyo lkn sijapata matokeo chanya au hazitakiwi kugusana zikiwa kwenye mafuta!?

Je kavichemsha viazi na maganda au kavimenya je vimeiva sana au maana yake havitakiwi viiveZinaweza kugusana ila mafuta pia yawe mengi ili zizame na kuelea.
ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ![]()
Nahisi tatizo lako lipo kwenye, baada ya kuchemsha viazi aidha uliviacha na maji au ngano uliyovirigia ili kukaanga uliifanya nyepesiThanx a lot mkuu!!but nimetumia hivyo hivyo lkn sijapata matokeo chanya au hazitakiwi kugusana zikiwa kwenye mafuta!?

Sahihi pia maana unaweza kuvichemsha lakini visiive mpaka kuvurugika.Je kavichemsha viazi na maganda au kavimenya je vimeiva sana au maana yake havitakiwi viive
Sent from Tapatalk
