Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728


Hii Combi hii ndio imenilea hii, heshima kwake tafadhali 



kitu basmatPilau la nyumbaniView attachment 1407956
bora leo samaki
boflo 😄View attachment 1408216
Hii Combi hii ndio imenilea hii, heshima kwake tafadhali
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹![]()
Huyu ndege mpaka anakujua jina!but ume mchoma vizuri
Miss hizo ni kababu!?
Hii tabia kwangu naona inaelekea kuota mizizi.....me nikiangalia nashikwa njaa halafu nahisi kama nakabwa koo mpaka nikile ndio natuliahivi ni Mimi tu ambaye nikiangalia nashikwa na njaa au tuko wengi??😜😜
Mbona hana chumvi 😎
Aisee! Huyo samaki tu, utamaliza? Kweli
Naona umehamua kulipiza kisasi cha kuku wangu mkubwa!



Ndizi viazi na vitunguu vingii na firigisi na mboga mboga na spinach pembeni View attachment 1408824
Sent using Jamii Forums mobile app
