platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,517
Mama Mkwe wangu huyo.Duuh dada unapatikana wap nije unifundishe haya mapishi
Yupo vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama Mkwe wangu huyo.Duuh dada unapatikana wap nije unifundishe haya mapishi
Sana niombee nautaka huo ujuzi
Duuh dada unapatikana wap nije unifundishe haya mapishi
Haya dada nakuja
Samahani dada, mahitaji na mapishi ya chakula hiki imekaaje?
Samahani dada, mahitaji na mapishi ya chakula hiki imekaaje?
Asante.
Naona mambo motomotoMaandalizi ya lunch karibuni nyote
Mkwe farkhina View attachment 1018874View attachment 1018875
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera
MLO swafi kabisa
Mambo ya mchemsho
MLO unavutia
Ugali wa MUHOGO (BADA) kwa SAMAKI wa chukuchuku.
Hapo pilipili inachangamsha kufanya Chakula kinukie uzuri, na ladha pia ya kukufanya ukifurahie Chakula