THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,769
Swafi kabisa shukrani mkuu
Sodataa unashushia na juice
Maji tuSodataa unashushia na juice
God is a God of hearts
Maandalizi ya lunch karibuni nyote
Mkwe farkhina View attachment 1018874View attachment 1018875
Sent using Jamii Forums mobile app







Nimeelekezwa na mkwe wangu farkhina kwani kuna suali la nyongeza?
Sent using Jamii Forums mobile app
.Aisee wengine tunachemsha chai wew unapika chai .. inaonekana itakua tamu balaa hapo naasume nina sambusa zangu za nyama kama sita hivi pembeni
Picha ya mwisho nahisi haikupaswa kuwa hapa..so unaweza kuifuta mkuuUsiku na Asubuhi View attachment 1019019View attachment 1019024
