Dah,sema nipo mbali hivi mkwe ukivuweka kwenye friji vikaganda haviwezi nifikia huku nlipo??
Dah,sema nipo mbali hivi mkwe ukivuweka kwenye friji vikaganda haviwezi nifikia huku nlipo??
Sent using Jamii Forums mobile app
ShukraniHongera *_* jirani
Ahsante mtaalam wetu wa MAPISHI.
PISHORI hiyo
Ahsante mtaalam wetu wa MAPISHI.
Dada kwema?
Hivi katika Mapishi yako ulishawahi kutengeneza SWEET RICE?
Umeshapakua mwenyewe.
Kwa trumpOoh.. Ooh.. wapi hii
Jr
Mkuu kama hutojali mi nisaidie jinsi ya kuandaa vitu vya kumfungashia mtoto shule