



wacha tu kije hakuna namna. Maisha maisha yenyewe ndo haya haya
Usiporudi na kitambi cha kitimbi sijui..!!!
Jr![]()

Napiga muayo wa njaa hapa

Wala sijafunga ila leo hakueleweki



Duuh polesanaWala sijafunga ila leo hakueleweki
Be Humble is free of charge![]()
Duuh dada unapatikana wap nije unifundishe haya mapishi