Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hii haikua pilau ni wali wa mboga mboga.

Hapana sijawahi kupika pilau ya nazi.

Ila ubwabwa wa nazi kwa maharage ni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni FRIED RICE!

Ulivyoitengenza nikajua ni PILAU.

Hebu jaribu PILAU ya NAZI kisha njoo na marejesho.

UBWABWA wa NAZI kwa MAHARAGE hauchoshi.

Ulivyotaja UBWABWA wa NAZI kwa MAHARAGE tayari hapa Uroho umeshanikamata
 
Wakuu naombeni utaalam wa kutengeneza mishkaki mitamu iliyobora, kuna kaplace naanzisha soon so whenever I'm offduty ntakua namimi naenda kusaidia sasa kuna jamaa aliniambia sijui nyama unaichanganya na tangawizi etc. Naomba msaada please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naombeni utaalam wa kutengeneza mishkaki mitamu iliyobora, kuna kaplace naanzisha soon so whenever I'm offduty ntakua namimi naenda kusaidia sasa kuna jamaa aliniambia sijui nyama unaichanganya na tangawizi etc. Naomba msaada please

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes nyama unachanganya na tangawizi na spaisi fulani hivi jina limenitoka, mishikaki inakuwa mizuri sana
 
IMG_1851.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom