Nakufananisha na Aroma of Zanzibar
Natamani kujaribu recipe yake ya biriani
Nitaomba na mwongozo wako pia
Mkwe hali yangu taaaban.
Mkwe hali yangu taaaban.
Minyoo inacheza gwaride kama lile la sherehe za mapinduzi
Sent using Jamii Forums mobile app
au nimwambie mchumba ako akufate?Swadaktaaa kupanda boti kuja ni jambo zuri ila kumtuma mchumba angu ni jambo zuri zaidi.Pole mkwe hujachelewa panda boti ujeau nimwambie mchumba ako akufate?
Sent using Jamii Forums mobile app
Swadaktaaa kupanda boti kuja ni jambo zuri ila kumtuma mchumba angu ni jambo zuri zaidi.
Ebu fanya mchakato.
Faida ya muungano
Muungano wetu na udumu milele![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
.
Ukitaka cha mvunguni sharti uiname.
Ukitaka cha mvunguni sharti uiname.
Na mimi nataka wa visiwani inabidi tu nipige mbizi japo kwa boti kuja unguja.
Na haya ndio matunda ya muungano wetu na mapinduzi matukufu ya januari 12.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swadaktaaa kupanda boti kuja ni jambo zuri ila kumtuma mchumba angu ni jambo zuri zaidi.
Ebu fanya mchakato.
Faida ya muungano
Muungano wetu na udumu milele![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkwe hujachelewa panda boti ujeau nimwambie mchumba ako akufate?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe hali yangu taaaban.
Minyoo inacheza gwaride kama lile la sherehe za mapinduzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yummy😛