Uzi wa vyakula tu

IMG_1436.JPG


Vitumbua vya kuku


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vinakuaje.
Nilishaazimia kuanzia mwaka huu naanza kujipikia, nitakula nje pale tu muda unapokosekana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni nyama ya kuku, unachemsha mbali
Unaweka carrot,na hoho na mayai una blend alafu unachoma kama vitumbua vya kawaida.

Subiri nipekue jf chef kwenye recipes nlowahi kuweka nkiiona ntakutag usijali.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom