Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,379
- 88,735
Hivi Mibbs huwa hawana no za simu? Kuna siku nimeenda pale saa 6 mpaka saa 9 msosi bado....leo nna hamu na mdudu wa pale ila nikifikiria ile foleni naona kughairi kunanihusu
Naomba huyo mama mkwe asiwe farkhina mkuu,sitokuelewa kabisa na naweza ifanyia hujuma hiyo boti isiweze kufika hata mkondo wa chumbe.Hapa tayari najiandaa kupanda boti, nampelekea Mama Mkwe zawadi ya samaki sato na dagaa wa Ziwa Nyasa!
Nimechagua fungu lililo bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi na mimi nimesoma ni hiyo shule fulani zanzibar.Mapishi sijasomea,shule ni shule Fulani Zanzibar kwani wewe umesoma shule gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ongea bana we binti wa BaghaniMapishi sijasomea,shule ni shule Fulani Zanzibar kwani wewe umesoma shule gani?
Sent using Jamii Forums mobile app








