ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,013
- 73,504
Sasa kaka yangu Mwaka wa Mbele atatumaje muamala bila kukubaliwa?weeeh huyo muongo muongo sijawahi kuona hata senti yake😀
Nimeamua kua chawa wa pande zote mbili
Sasa kaka yangu Mwaka wa Mbele atatumaje muamala bila kukubaliwa?weeeh huyo muongo muongo sijawahi kuona hata senti yake😀
kwanini uwe msaliti aseee,, labda uwe upande wake umshawishi aanze kutoa vijisenti maan hayo maneno yake sio mageni hapa mjiniSasa kaka yangu Mwaka wa Mbele atatumaje muamala bila kukubaliwa?
Nimeamua kua chawa wa pande zote mbili
Mbona unataka kumchuna?kwanini uwe msaliti aseee,, labda uwe upande wake umshawishi aanze kutoa vijisenti maan hayo maneno yake sio mageni hapa mjini
Mwaka wa Mbele ujumbe ukufikie popote ulipo
Mtoto mashaallah🤣🤣eee na kweny hako ka glass kanako chomoza kuna maziwa mtindi😊
eishiiiiii mtu kumwagilia maua aloyapanda ni dhambi?Mbona unataka kumchuna?
Hii case ishakua ngumu
uchuro huuu kijana wa kituruki😆Mtoto mashaallah🤣🤣
Tusubiri tuone😂eishiiiiii mtu kumwagilia maua aloyapanda ni dhambi?
huyo hawezi, labda tumsikilizie mwingine😅Tusubiri tuone😂
Ma mkali uwe na usiku mwema.Mbona unataka kumchuna?
Hii case ishakua ngumu
win-one atalala vizuri leo! Kashasikia ahadi ya sasampa.Ma mkali uwe na usiku mwema.
mm nalala.
Mm mapema sana leo. Nina ratiba ya kuamka saa 9 usiku 😣😣😣 nina kasafari.
Alafu naomba uwe makini . Maana Nimeweka wanasheria wawili kuangalia maneno ya shem ephen_ dhidi yetu.
ila aaaagh. Nitawatoa na hela yote ya mawakili nitakuwa nampa yeye.😊😊😊.
Kwahiyo atakula Ushemeji allowance, na hela ya mawakili.
Sasa sijui atake nini tena kwangu.😊😊😋
Usiku mwema pia shem wangu kabisa ephen_